Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Halafu poyoyo mmoja wa kutoka mabibo mwisho anadiss GDP ya $63,000 kwa mwaka! Hio ni Equivalent kama na 150M za kibongo bongo kwa kila mwananchi mmoja wa Marekani[emoji28][emoji28][emoji28]
Ebana eeh[emoji848]
 
Toyota zinazouzwa ulaya na Marekani hazifananj na hizi zetu.

Usije ukaona zote zimeandikwa toyota ukajua ziko sawa.
Hahahaha jamaa wanahisi zile toyota za bati za makarai kama Vits na Ist ndio zinauzwa Marekani kule 😅😅😅? Kule ni Corrolla iliotengenezwa kwa viwango, Rav 4 za uhakika sana!
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909

Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Zipo kibao kwa sasa hela yako tuu
 
Kwa mbali unaweza sema forester bodi naona kama wameibiana ibiana
 
Gari nzur chief naitumia baada ya kutoka bmw
Ukiichukua sema tukuunge grp letu la VW itakurahisishia kupata mafundi wa uhakika
Shida ya hizi kitu ni ukikosea upate fundi uchwara utaomba poo
Hahahahahah kwahio mkuu haikusumbui kabisa
 
Hongera sana

Good Taste

Basi mi my dream car ni Toyota Fortuner-New Model....zingatia New Model..
Madly in loove
Sijawahi penda Toyota until i saw this car
1625517069630.jpeg

I Used to love BMW X3 New Model wth sunroof..
1625517023635.jpeg

Now i have 2 Favorites
 
Itakuwa wanauziana ina maana inanunuliwa na jeshi kisha baada ya muda wanauziana private sema benz ni jeans mzee!
Kuna mishen walikua nazo hizi G wagon 10,wakawa wanaziuza,nikatia mguu pale,mdau wangu wa ndani akanitonya zote zimebebwa na wazee wa kitengo siwez pata na nisitarajie,na bei ilikua mkasi hatari
 
Back
Top Bottom