Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Marekani wanapenda hivi vitu
826207_1.jpg

niliona kitu kama hiki mitaa ya posta, Ford mustang.
 
Hakika nimeshangaa...watu wanasukuma Lamborghini kama IST tu kule..

Sasa hivi wameintroduce Jet-car...ukiona mifoleni unachange gear kitu kinapaa mawinguni, ukichoka kuelea huko kwa Sir God, unachange gear unashuka tena hapa kuzimu, umeona hiyo ....

Wamarekani kwa magari ya kifahari hakuna anayemgusa duniani
Traffic watakuwa hawana kazi sasa....
 
Angalia wazungu wanaotokea nchi za Scandinavia alafu uwafananishe na wazungu wahuni wa marekani
Norway ndio anamzidi US yeye ana $75,000 per year wengine wanaendana na US! Hizi ndio nchi za kuzamia kudadadeki hapo hata ukiwa unafanya kazi yakimaskini huwezi kosa kutengeneza million 100 kwa mwaka
 
Kabisa
 
Back
Top Bottom