6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Marekani wanapenda hivi vituKuna gari zinaitwa dodge challenger au demon ni kali sana mkuu.
View attachment 1842787
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani wanapenda hivi vituKuna gari zinaitwa dodge challenger au demon ni kali sana mkuu.
View attachment 1842787
2030 zitakija bongo😃😃Maybach GLS 600 prices start at $161,550 hapo hujaweka vikorombwezo vingine ambavyo vinaweza kuchukua $30k kwenda juu kutokana na nini unataka.
2030 zitakija bongo😃😃
Mambo yanaweza kunadilikia...!! 😄😄😄😂😂😂😂😂 Tutakuwa tumetoka uchumi wa kati tumeingia uchumi wa Kimarekani mabilionea mtaani kama KAWA 🤣🤣🤣🤣
Marekani wanapenda hivi vitu
Ni jumla ya models/generations zote za Corolla mkuu.Mawazo yangu yote model ya kwanza ndio iliwapa umaarufu na kuuza sana kuliko zilizofuata... kumbe ni tofauti?
'I am overqualified to know that amatuer thing'.
Hii gari hapana 😂😂😂Kuna gari zinaitwa dodge challenger au demon ni kali sana mkuu.
View attachment 1842787
Traffic watakuwa hawana kazi sasa....Hakika nimeshangaa...watu wanasukuma Lamborghini kama IST tu kule..
Sasa hivi wameintroduce Jet-car...ukiona mifoleni unachange gear kitu kinapaa mawinguni, ukichoka kuelea huko kwa Sir God, unachange gear unashuka tena hapa kuzimu, umeona hiyo ....
Wamarekani kwa magari ya kifahari hakuna anayemgusa duniani
Norway ndio anamzidi US yeye ana $75,000 per year wengine wanaendana na US! Hizi ndio nchi za kuzamia kudadadeki hapo hata ukiwa unafanya kazi yakimaskini huwezi kosa kutengeneza million 100 kwa mwakaAngalia wazungu wanaotokea nchi za Scandinavia alafu uwafananishe na wazungu wahuni wa marekani
Mmhh...Asilimia kubwa ni choka mbaya Kwa level za wazungu
Mubby upo? Kitambo sanaGari nzur chief naitumia baada ya kutoka bmw
Ukiichukua sema tukuunge grp letu la VW itakurahisishia kupata mafundi wa uhakika
Shida ya hizi kitu ni ukikosea upate fundi uchwara utaomba poo
Jamaa anakuwaga na extensive knowledge lkn leo kaniangusha sana[emoji22]Aisee utakua unaishi dunia yako.
HuhuuuuhKilaza tu
We ulishawahi ona traffic mitaa ya Los Angeles?Traffic watakuwa hawana kazi sasa....
KabisaNorway ndio anamzidi US yeye ana $75,000 per year wengine wanaendana na US! Hizi ndio nchi za kuzamia kudadadeki hapo hata ukiwa unafanya kazi yakimaskini huwezi kosa kutengeneza million 100 kwa mwaka