Mwaka 2025 Voyager 1 ilipita kilometer bilioni 25 kutoka dunia.
Kutegemea na dunia ilipo katika mzunguko wake wa jua, signal kutoka Voyager zonazosafiri kwa kasi ya mwanga huchukua kati ya masaa 22 mpaka 24 kufika duniani.
Yani kuna wakati Voyager 1 inatuma signal duniani, hiyo signal kufika duniani inafika kesho yake muda huo huo, masaa 24 baaadaye. Kutokana na limit ya speed of light.
Walipokuwa wanarekodi sauti za kuweka kwenye hiyo Golden Record, walialika watu wa mataifa mbalimbali. Wakawaalika na Watanzania.
Sasa kama kawaida yetu, Watanzania wakachelewa kufika siku ya kurekodi.
Hivyo Golden Record imeondoka bila sauti za Kiswahili.