Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
N Sawa ww ukae nje ya nyumba yako afu Camera itegwe mbali upigwe picha halafu uonekane ww pekee yako bila nyumba.Mwaka wa 1990 sidhani kama Voyager 1 ilikuwa imevuka Interstellar Region kwahiyo yeah the image is real na hiki chombo kinasafiri Ina relation to the earth orbit lengo ndio maana antenna yake inaelekea upande wetu lengo ni ili tuweze ku communicate Kuna path ambazo ni ndefu wangepitisha hiki chombo pengine delay ya signal zingekuwa kubwa.
Pia hii picha iliyoitwa Pale Blue Dot aliyeiomba alikuwa Carl Sagan haikuwa kwenye mission ya hii spacecraft. Katika kuchukua hii picha ni calculation zilifanyika sio random tu during this time Voyager ilikuwa imesha cross Neptune..
Umbali kutoka duniani kwenda kwenye jua ni 150M KM, kwamba hata jua halionekani ije ionekane Dunia tuu 😂
Labla waseme hiyo yote n muonganiko wa sayari zetu zote pamoja na jua.