Kuna nyota moja inaitwa tabby star ipo kwenye constelletion sgnus iligunduliwa kutoka kwenye data za telescope ya kepler hyo nyota huwa inamtindo wa kupungua mwanga wake mpaka asilimia 22% ambapo si jambo la kawaida ingawa wanasayansi wanahisi huenda hyo nyota ina consume clouds dust na ndio maana inaonekana kama inapungua mwanga ila kuna wanasayansi wengine akiwepo michio kaku wanahisi huenda hyo sayari imezungukwa na dyson sphere na advanced cillivization waliyo kwenye type 2 ya kadshev wanatoa nishati toka kwenye hyo nyota na ndio maana inapungua.Main aim ya hiki chombo ilikuwa exploration ya Jupiter na Saturn. Inachukua decades kufika hizi sayari kwahy wanasayansi waliona kiendelee na exploration zingine.
There might be life out there Kuna sayari inaitwa Proxima Centauri B inasemekana ni habitable. Ila kufika tu kwenye hii Star then ufikie hii sayari inachukua almost miaka 4 kufika kwa speed ya mwanga( 4 light years away) mwanga unaotoka pale ukiangalia angani imechukua 4 years kufika ndio unauona Leo.
Fun fact: Hii Galaxy Yetu Milkway Ina billions of Stars with its own planets The sun is among the Stars. Pia Kuna billions of Galaxies each with its own Stars inside.
Nakazia.Sijawahi kuwaamini NASA.
Mimi nilitamani niwe nafanya kazi huko anga za juu lakini as the time na kuwa nikajikuta nakubali ukweli mchungu kwamba serikali hii na mifumo yake jinsi ilivyo nisingeweza kufanikisha hii ndoto na kweli sijaifanikishaHivi hamna hata member mmoja humu anaefanya kazi NASA atupe madini
Unachokifikiria upo sahihi... Vitu ambavyo tumeaminishwa vipo sahihi kwa uhalisia wake kumbe ni kinyume chake... Ndio kuna muda nawaza huenda ukweli kuhusu uhalisia wa baadhi ya vitu ni wachache sana wanaojuaNilifuatilia namna hichi chombo kinavyotuma data kikanifanya nitafakari sana kuhusu uhalisia wa dunia na ulimwengu.
Chenyewe kinatuma signals interms of light signals nadhani kinacapture light na kuzituma kwa mfumo wa namba, namba kisha wataalam huku duniani wanaifanya ile signal iwe katika uhalisia unaoeleweka, mfano kama ni picha basi wanaconvert hizo light sijui namba namba mpaka zinakuwa picha kama tu ambavyo camera ya simu inafanya mpaka unaona picha.
Nikajikuta najiuliza, sasa una uhakika gani kuwa kinachotafsiriwa ndo uhalisia? Na hivi sisi binadamu kila tunachoona ndivyo kilivyo? what if kuna vitu vipo katika uhalisia ila mifumo yetu haiturihusu ubongo kutengeneza hilo umbile? Nikachunguza weee majibu niliyokutana nayo nikahisi ubongo wetu upo limited sana na pengine tunachosema ni uhalisia ni part ndogo sana ya uhalisia halisi.
Mwaka 2025 Voyager 1 ilipita kilometer bilioni 25 kutoka dunia.Kuna wanasayansi walishaliongea hili nadhani Stephen Hawking aliwahi kutoa onyo Kuna uwezekano Aliens wakawa wametuzidi akili na pia technology yao pengine ni 2X ya kwetu. Ingawa Kuna wanasayansi wali argue wakasema kama ni hivyo basi Kuna ugeni tungeupata muda mrefu sana before sisi hatujaanza kufanya exploration.
Ni Strange....Unachokifikiria upo sahihi... Vitu ambavyo tumeaminishwa vipo sahihi kwa uhalisia wake kumbe ni kinyume chake... Ndio kuna muda nawaza huenda ukweli kuhusu uhalisia wa baadhi ya vitu ni wachache sana wanaojua
Hebu weka link ya uzi tukaupitieNilishawahi kuandika uzi kuhusu hichi chombo kitambo!, kumbe kuna watu ndo mnakuja kujua hivi karibuni anyway hakuna matata.. hicho chombo ndo kilifanya niwe natumia avatar ya hiyo golden record!.
Mada kama hizi wadau huwapati,wanataka mada za binti wa nini sijui
Nasa wameiponza duniaWe unahisi lilikikuwa ni wazo zuri la kuweka information za dunia jinsi tunavyo ishi wakati hatujui huku farspace kuna nini, kama kuna viumbe wengine kwenye galaxy yetu hatujui kama ni wazuri au la vipi wakitumia hizo information na kutusoma jinsi tulivyo na kupata advatange kama wanataka kutushambulia
Duh! Kuna uwezekano maana hatujawahi kufika any star kwenye hii Galaxy Yetu.Kuna nyota moja inaitwa tabby star ipo kwenye constelletion sgnus iligunduliwa kutoka kwenye data za telescope ya kepler hyo nyota huwa inamtindo wa kupungua mwanga wake mpaka asilimia 22% ambapo si jambo la kawaida ingawa wanasayansi wanahisi huenda hyo nyota ina consume clouds dust na ndio maana inaonekana kama inapungua mwanga ila kuna wanasayansi wengine akiwepo michio kaku wanahisi huenda hyo sayari imezungukwa na dyson sphere na advanced cillivization waliyo kwenye type 2 ya kadshev wanatoa nishati toka kwenye hyo nyota na ndio maana inapungua.
Yeah ila nadhani kwa hii Karne Yetu bongo zetu zimelala mno hadi sasa technology tunazotumia ni za 1800's to 1900's product zao tumezifanya kuwa advanced.Nilifuatilia namna hichi chombo kinavyotuma data kikanifanya nitafakari sana kuhusu uhalisia wa dunia na ulimwengu.
Chenyewe kinatuma signals interms of light signals nadhani kinacapture light na kuzituma kwa mfumo wa namba, namba kisha wataalam huku duniani wanaifanya ile signal iwe katika uhalisia unaoeleweka, mfano kama ni picha basi wanaconvert hizo light sijui namba namba mpaka zinakuwa picha kama tu ambavyo camera ya simu inafanya mpaka unaona picha.
Nikajikuta najiuliza, sasa una uhakika gani kuwa kinachotafsiriwa ndo uhalisia? Na hivi sisi binadamu kila tunachoona ndivyo kilivyo? what if kuna vitu vipo katika uhalisia ila mifumo yetu haiturihusu ubongo kutengeneza hilo umbile? Nikachunguza weee majibu niliyokutana nayo nikahisi ubongo wetu upo limited sana na pengine tunachosema ni uhalisia ni part ndogo sana ya uhalisia halisi.
Yeah ingawa good inventors wengi walipiga kazi wenyewe mfano kina Nikola Tesla.invention yoyote inahitaji teamwork na dedication
uzi mzuri
Bongo sidhani kama hawa watu wapo maana hata kozi related na mambo ya cosmology, astronomy hatuna. Pia tupo nyuma kitechnolojia tukiondoa current technology hapa bongo dah aise invention ni chache in short hatuna kitu zaidi ya nature.Hivi hamna hata member mmoja humu anaefanya kazi NASA atupe madini
Wanachosema ni kweli hivi hizo satellite zinafanya je kazi si idea ikitokea on how the moon orbits the earth.Huwa namshangaa sana mtu anasema hizi stori ni za uongo , kwamba hakuna chombo cha namna hii au NASA hawajawahi peleka mtu kwenye mwezi .
Sometimes watu wa aina hii hata ukijaribu kufuatilia upepo wa kufikiria na kuchanganua mambo ni mdogo sana ... Mbaya zaidi upeo mdogo ujumlishe hapo na itikadi ya dini yake, hapo ndio tatizo kuu.
Inabidi muamini TU kwamba Marekani amewahi kuweka bendera yake pale kwenye mwezi mwishoni mwa miaka ya 60
😂😂Mwaka 2025 Voyager 1 ilipita kilometer bilioni 25 kutoka dunia.
Kutegemea na dunia ilipo katika mzunguko wake wa jua, signal kutoka Voyager zonazosafiri kwa kasi ya mwanga huchukua kati ya masaa 22 mpaka 24 kufika duniani.
Yani kuna wakati Voyager 1 inatuma signal duniani, hiyo signal kufika duniani inafika kesho yake muda huo huo, masaa 24 baaadaye. Kutokana na limit ya speed of light.
Walipokuwa wanarekodi sauti za kuweka kwenye hiyo Golden Record, walialika watu wa mataifa mbalimbali. Wakawaalika na Watanzania.
Sasa kama kawaida yetu, Watanzania wakachelewa kufika siku ya kurekodi.
Hivyo Golden Record imeondoka bila sauti za Kiswahili.