N Sawa ww ukae nje ya nyumba yako afu Camera itegwe mbali upigwe picha halafu uonekane ww pekee yako bila nyumba.Mwaka wa 1990 sidhani kama Voyager 1 ilikuwa imevuka Interstellar Region kwahiyo yeah the image is real na hiki chombo kinasafiri Ina relation to the earth orbit lengo ndio maana antenna yake inaelekea upande wetu lengo ni ili tuweze ku communicate Kuna path ambazo ni ndefu wangepitisha hiki chombo pengine delay ya signal zingekuwa kubwa.
Pia hii picha iliyoitwa Pale Blue Dot aliyeiomba alikuwa Carl Sagan haikuwa kwenye mission ya hii spacecraft. Katika kuchukua hii picha ni calculation zilifanyika sio random tu during this time Voyager ilikuwa imesha cross Neptune..
Yaani pale blue dot ilimaanisha we might think that we are the only one on this universe but we are just very small tiny like dust nothing on the space of huge bodies.N Sawa ww ukae nje ya nyumba yako afu Camera itegwe mbali upigwe picha halafu uonekane ww pekee yako bila nyumba.
Umbali kutoka duniani kwenda kwenye jua ni 150M KM, kwamba hata jua halionekani ije ionekane Dunia tuu 😂
Labla waseme hiyo yote n muonganiko wa sayari zetu zote pamoja na jua.
So tuseme hicho kidot sio dunia, bali ni mfumo wetu wa jua pamoja na yaliyomo ndani yake, sayari, miezi yake na jua.Yaani pale blue dot ilimaanisha we might think that we are the only one on this universe but we are just very small tiny like dust nothing on the space of huge bodies.
Nadhani hii inaeleweka just like tembo and sisimizi.
Ndio duniani yenyewe hiyo picha imechukuliwa baada ya Voyager kumaliza exploration 1990So tuseme hicho kidot sio dunia, bali ni mfumo wetu wa jua pamoja na yaliyomo ndani yake, sayari, miezi yake na jua.
Unless nature imeweka ukomo wa ufahamu wa viumbe. Sababu unajiuliza, ni kwamba ulimwengu na dunia bado ni mpya sana kwamba ugunduzi bado upo in progress au ulimwengu una muda ila viumbe vinavyo exist ulimwenguni huwa vikifika level fulani ya uelewa vinaangamia?Yeah ila nadhani kwa hii Karne Yetu bongo zetu zimelala mno hadi sasa technology tunazotumia ni za 1800's to 1900's product zao tumezifanya kuwa advanced.
Pengine tukiendelea na curiosity similar to wenzetu wa Karne ya 19 na 20 tuleta technology advanced sana.
Mmmh lakini utafiti unaonesha Kuna civilization zime exist in few billion years ago but no advanced technology kama hii civilization Yetu.Unless nature imeweka ukomo wa ufahamu wa viumbe. Sababu unajiuliza, ni kwamba ulimwengu na dunia bado ni mpya sana kwamba ugunduzi bado upo in progress au ulimwengu una muda ila viumbe vinavyo exist ulimwenguni huwa vikifika level fulani ya uelewa vinaangamia?
That's humanDuuh.🤔🤔
Wakija kutakuwa na mapinduzi makubwa mno duniani kuanzia siasa mpaka diniMmmh lakini utafiti unaonesha Kuna civilization zime exist in few billion years ago but no advanced technology kama hii civilization Yetu.
May be on other galaxies or stars tunaweza kuwa na advanced technology kutoka kwa viumbe vingine ingawa hawapo karibu Yetu wangekuwepo hadi sasa wangekwisha kuja hapa Duniani.
Yeah na wakifika mbele yetu ni ishara they are far ahead from our technology may be even thinking capability.Wakija kutakuwa na mapinduzi makubwa mno duniani kuanzia siasa mpaka dini
Kabisa mkuuYeah na wakifika mbele yetu ni ishara they are far ahead from our technology may be even thinking capability.
Mbna vifaa walivyotumia hao engineers vipo duniani mkuuTuje kwa mainjinia je wanawezaje kubuni vitu ambavyo dunian avipo na vifaa wanapata wapi? Maana mm kila ninachowaza na kufikili naona tayar kipo dunian yaan tayar ubongo umegota kuniletea vitu ambavyo avipo kwa macho yangu au milango ya faham