VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

TFF waichunguze hii mechi.
Nina imani ukweli utapatikana na wahusika wataadabishwa.Bao8 kwa bila alafu tukae kimya?
utakua ni upuuzi.Hii mechi kuna namna tuu.NASEMA HAIWEZEKANI NYAMBAFU!!

Fuatilia historia, Yanga kumfunga Coastal Union nyingi si mara ya kwanza. Coastal huponzwa na jezi yake kama vile mbega alivyoponzwa na uzuri wake.
 
Eti mikia mnaitwa hapa jukwaani. Si wanawaonea tu jamani, hali chungu sana hii maana kombe lileeee. Kweli leo hajatumwa mtoto dukani.

Wapi Masuke Crashwise everlenk Katavi...
 
Last edited by a moderator:
Barcelona kama Yanga...

Mkuu Watu8, moja ya jambo chama wamelifanyia kazi leo ni kuridhika na mabao machache. Yanga ilikuwa ikifunga goli 2 au 3 inaanza mbwe mbwe, hii kitu ilikuwa inanikera sana. Nadhani benchi la ufundi na uongozi umelikemea ndio maana leo mambo mswano. Hongera chama langu kwa ushindi mnono. Yanga Daima mbele.
 
namanyere alishasema timu dhaifu

mkuu nahifahamu sana Yanga tangu niko tumboni kwa mama yangu, usiombe Yanga itokee nje ya nchi kwenye mechi ya kirafiki, au umesahau mwaka jana baada ya kutoka misri tulimpa mtu 7 yule ruvu shooting
 
Hii mechi ichunguzwe na tff

Hahaha hii ni kawaida ya Yanga bana hebu acha kiroho cha korosho

Hadi CAF wanatambua Yanga ni wazee wa kutoa kipondo...

Kama huamini hebu watafute wale Wacomoro na ukitoka hapo nenda Zimbambwe watafute FC Platinum na wenzao Highlanders...

Halafu ruka hadi Ethiopia watafuye wavuna kahawa wa Coffee...

Halafu usiache kuwatafuta na Ruvu...
 
Baada ya kutoka Zimbabwe nakumbuka kocha alisema kuanzia sasa anataka kuhakikisha anawanoa zaidi washambuliaji maana wanapoteza sana nafasi...

Na leo ndio mechi ya kwanza baada ya matamshi hayo...

Mkuu Watu8, moja ya jambo chama wamelifanyia kazi leo ni kuridhika na mabao machache. Yanga ilikuwa ikifunga goli 2 au 3 inaanza mbwe mbwe, hii kitu ilikuwa inanikera sana. Nadhani benchi la ufundi na uongozi umelikemea ndio maana leo mambo mswano. Hongera chama langu kwa ushindi mnono. Yanga Daima mbele.
 
Si vibaya zote zichunguzwe, haiwezekani icheze timu moja uwanjani halafu ile ingine imetulia kama kwamba hawapo uwanjani

We ushawahi kuona wapi maji yanawasha moto?

Kwa hiyo ulitarajia Coastal ataifunga Yanga?
 
Baada ya kutoka Zimbabwe nakumbuka kocha alisema kuanzia sasa anataka kuhakikisha anawanoa zaidi washambuliaji maana wanapoteza sana nafasi...

Na leo ndio mechi ya kwanza baada ya matamshi hayo...

Hata mimi niliskia halafu akasema kwamba anawafahamu sana waarabu ana siri jinsi ya kuwafunga, hii naweza kukubala maana nakumbuka mwaka jana Al ahly wenyewe walikili kwamba tumeitoa Yanga kwa bahati sana pale ni Mungu tu alisaidia,
 
Sijaangalia Mpira. ...ila nasikia raha sana kwa ushindi huu mnono wa Leo....hakika babu plujm ni kocha mzuri
 
Ningekuwa shabiki wa mkia ningetafuta mtu nikalipiza hayo mabao kama siku nilivyofanywa na arsenali kwa kunipiga 4...sijui kama leo natoka kwa blackburn saa 3 usiku
 
Waanze kwanza kuchunguza Real madrid na Granada mtu alikula 9

Ile ya Real Madrid wameanza kuichunguza?

Hivi upo serious au unatania?

Fuatilia historia, Yanga kumfunga Coastal Union nyingi si mara ya kwanza. Coastal huponzwa na jezi yake kama vile mbega alivyoponzwa na uzuri wake.

Sio 8 sasa!!!
Hi mechi muhindi wa pale banda la ngozi kainunua!!!
CC Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Hii Coastal ndio ile timu ya Julio Alberto Tarantini Pereira?
 
Back
Top Bottom