VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Mkuu mimi sijasema siipendi simba
Mimi ni shabiki na mwanachama wa Simba
Ninachokitaka mimi ni extent ya matatizo ifanyiwe kazi
Kitakachotokea sasahivi ni viongozi watajificha kwenye siasa
Next match tunapigwa....

Mkuu ni wanasiasa tu wanaotatua matatizo kwa kuleta matatizo mengine, tatizo la Simba lililopo haliwezi kutatuliwa kwa Simba kufungwa, siamini kama Simba ikifungwa ndo hela ya kulipa mshahara itapatikana na bado siamini Simba ikifungwa ndo suluhisho litapatikana.
 
Ilikuwa inafanya nini muda wote huo huko Shinyanga??

Timu haina Pesa...wachezaji hawajalipwa mishahara....Wameenda kuchenza ndondo kahama ili wapate pesa za mafuta ya gari
 

Na hata mimi najua matatizo hayatatuliwi kwa simba kufungwa.....na sijasema kufungwa ndio kunatatua matatizo

Kufungwa ni kitu kitakachotufanya au kutulazimisha tukae chini tuyaangalie matatizo yote na kuyapatia ufumbuzi

Kuendelea kushinda kwa kubahatisha ni kichaka kitakachofanya hata tusione ulazima na uharaka wa kukaa na kutatua matatizo
 
Mimi nimesema hapa kwenye post zangu za mwanzo ...kina Masuke hawanielewi...wanaona niko negative na timu

Simba kuna matatizo makubwa

Kushinda hivi kwa kubahatisha ndio kichaka cha viongozi kuficha uchi

Na mficha uchi hazai

kwani simba kushinda ndio matatizo yanakuwa yametatuliwa? Hii haitaficha matatizo yaliyopo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimesema hapa kwenye post zangu za mwanzo ...kina Masuke hawanielewi...wanaona niko negative na timu

Simba kuna matatizo makubwa

Kushinda hivi kwa kubahatisha ndio kichaka cha viongozi kuficha uchi

Na mficha uchi hazai

Kwa hili mkuu mimi sitakaa nikuelewe, unachotaka kusema wewe ni sawa na shule haina walimu na bado wanafunzi wanao uwezo wa kufanya vizuri kwenye mtihani wao kutokana na kujitafutia wenyewe au kuwa na uwezo mkubwa kiakili sasa anatokea mtu awaambie wafanye mtihani vibaya ili tatizo la kutokuwa na walimu litatuliwe.

Tatizo kweli lipo na kama timu inapata nafasi ya kushinda acha ishinde huku wahusika wakitafuta namna ya kutatua hilo tatizo, je vipi kama tatizo lisipoisha mapema na mechi ambazo timu ilikuwa na uwezo wa kushinda na wewe unataka ifungwe kwa hiyo iendelee kufungwa tu hadi mwisho wa ligi?
 

Inaniuma sana mnyama anapochechemea chechemea, huwa natoweka kidogo kwenye haya majukwaa ya michezo sababu ya stress, sijui ni wake up call gani ningependa itumike kuwafaamisha viongozi wa Simba wabadilike, ila siiombei Simba mabaya, ila viongozi wa simba siwapendi kabisaa!
 
Last edited by a moderator:

My friend...you are doing politics....4 years down the line unasema wahusika wanatafuta ufumbuzi

Umeona effort zipi za maana za kutafuta ufumbuzi

Kama una jengo bovu na unahitaji jipya you need to de molish the current one and build a new one
 
Bora game ya kmkm vs Al hilal ina mvuto kuliko ile ya mabwana shamba wa bunju dhidi ya wajelajela.
 

Na mwisho wa ligi hakuna pointi ambazo zinakuwa classified kwamba ni za ushindi wa kubahatisha.
 
Alafu kitu kingine hasa ndala mnatakiwa mtambue kuwa ktk VPL ushindani umeongezeka. Hivi mnajua mmetuacha michezo mingapi? Uwezekano wa Simba kuwa bingwa upo kabisa maana bado hamjacheza na sisi, hiyo mechi ni six pointer, tukiwafunga mnalo, na mnajua simba hata ikiwaga "mbovu" lakini kwa yanga wembe ni ule ule.
 
kumbe kuna tatizo kubwa sana klabuni

Matatizo makubwa ndugu yangu
Watu hawalipwi mishahara
Wachezaji wamewekwa kimakundi
Viongozi wako kimakundi
Kuna vita ya matawi mawili
Katika mazingira haya ukitegemea timu ishinde na wachezaji washinde utakuwa unawaonea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…