Mkuu mimi sijasema siipendi simba
Mimi ni shabiki na mwanachama wa Simba
Ninachokitaka mimi ni extent ya matatizo ifanyiwe kazi
Kitakachotokea sasahivi ni viongozi watajificha kwenye siasa
Next match tunapigwa....
Mkuu ni wanasiasa tu wanaotatua matatizo kwa kuleta matatizo mengine, tatizo la Simba lililopo haliwezi kutatuliwa kwa Simba kufungwa, siamini kama Simba ikifungwa ndo hela ya kulipa mshahara itapatikana na bado siamini Simba ikifungwa ndo suluhisho litapatikana.