Simba inashuka kwenyeUwanja wa Taifa, Dar,leo kucheza na Prisonskatika mchezo wa LigiKuu Bara lakiniitawakosa nyota wakewanne tegemeo.Simba ambayo inasakaushindi baada yamchezo uliopitakupoteza dhidi yaStand United, ipokwenye mazingiramagumu ya kuchukuaubingwa kwani mpakasasa katika michezoyake 15 iliyoshukauwanjani, imefanikiwakushinda nne, sarenane na kupoteza tatu.Wachezaji ambaowanatarajiwakukosekana kwenyemchezo huo ni bekiMganda, Juuko Murshid,washambuliaji IbrahimAjibu na SimonSserunkuma na kiungoAbdi Banda, wotewakikabiliwa na sababutofauti.Kocha wa Simba, GoranKopunovic amesemakukosekana kwawachezaji hao ni pigokubwa kwao kwanimchezo huo ni muhimulakini anashukuruMungu kwa kuwa kunawachezaji tayariwameandaliwa kwa ajiliya kuziba nafasi zaona watahakikishawanatimiza lengo laola kubakiza pointitatu nyumbani iliwaweze kujiweka kwenyenafasi nzuri katikamsimamo wa ligi ambaposasa wapo nafasi yanne wakiwa na pointi20."Juuko ana maumivu yanyama za paja, Ajibuna Banda wana kaditatu za njano wakatiSimon amerejea kwaokwenye msiba wa mamayake huko Kampala,Uganda."Nasikitika kwa kuwanitawakosa wachezajihao lakini sina jinsi,nitakachokifanya nikuyaziba mapengo yaona ninaamininitafanikiwa kuibukana ushindi kesho(leo)," alisemaKopunovic.