Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi walikuwa na kipindi pia ijumaa.
TANZIA🙁imethibitishwa)
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya C CM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar.
Inasemekana simba imemchezesha ibrahim hajib kimakosa kwamba ana kadi 5 za njano......sitanii
Hizo zitakuwa za haruc.
Unamaanisha kuwa hata game za nyuma alizocheza alipangwa kimakosa??Inasemekana simba imemchezesha ibrahim hajib kimakosa kwamba ana kadi 5 za njano......sitanii
kumbe na huyu boya ni Simba,nyie ndo mnaleta gundu tunafungwa nyieLeo pointi tatu zinatuhusu Simba...
salam ziwafikie Yanga popote walipoEmmanuel Okwi anaipatia Simbasc36 goli la 4.
Simba inashuka kwenyeUwanja wa Taifa, Dar,leo kucheza na Prisonskatika mchezo wa LigiKuu Bara lakiniitawakosa nyota wakewanne tegemeo.Simba ambayo inasakaushindi baada yamchezo uliopitakupoteza dhidi yaStand United, ipokwenye mazingiramagumu ya kuchukuaubingwa kwani mpakasasa katika michezoyake 15 iliyoshukauwanjani, imefanikiwakushinda nne, sarenane na kupoteza tatu.Wachezaji ambaowanatarajiwakukosekana kwenyemchezo huo ni bekiMganda, Juuko Murshid,washambuliaji IbrahimAjibu na SimonSserunkuma na kiungoAbdi Banda, wotewakikabiliwa na sababutofauti.Kocha wa Simba, GoranKopunovic amesemakukosekana kwawachezaji hao ni pigokubwa kwao kwanimchezo huo ni muhimulakini anashukuruMungu kwa kuwa kunawachezaji tayariwameandaliwa kwa ajiliya kuziba nafasi zaona watahakikishawanatimiza lengo laola kubakiza pointitatu nyumbani iliwaweze kujiweka kwenyenafasi nzuri katikamsimamo wa ligi ambaposasa wapo nafasi yanne wakiwa na pointi20."Juuko ana maumivu yanyama za paja, Ajibuna Banda wana kaditatu za njano wakatiSimon amerejea kwaokwenye msiba wa mamayake huko Kampala,Uganda."Nasikitika kwa kuwanitawakosa wachezajihao lakini sina jinsi,nitakachokifanya nikuyaziba mapengo yaona ninaamininitafanikiwa kuibukana ushindi kesho(leo)," alisemaKopunovic.
Ila kwa viongoz wa timu zetu usishangae......Kwa hiyo kocha alisema kwamba ana kadi tatu za njano na bado akampanga, huyo kocha si atakuwa kichaa. Kuna haja ya kuwapa mtihani kila mara hawa watu wa media wanapenda sana kuongeza chumvi.
salam ziwafikie Yanga popote walipo