VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Kheir yako wewe umekata tamaa mapemda manake baadae mkifungwa hautaumia sana kuliko wale wenye matumaini ya kushinda na wajelajela wakianza kuwatembezea mkong'oto wataumia sana.
Kila la kheir Tz Prisons.

Kwa kuwa huu uzi haukuhusu wewe wala hukualikwa ngoja mvua ikunyeshee.
Bao 5 hizo ni salamu kwa mke wangu mpenzi, nikimkumbushia penzi langu la dhati kwake.

Toka amenikimbia mwaka 2012 sijapata mwanamke aliyehimili mapigo yangu, japokuwa huyu wa leo ametaka kunirubuni kwa kunipa staili zote mpaka haramu bado simtaki kwanza amekomaa, ana vigimbi kwa kupanda milima tofauti na wewe ngozi yako laini, mtoto kila mtu anakupenda hata jana nilisikia kuna buzi lilikupeleka Botswana na kukupiga viwili mimi sijali. Rudi tuje tuyajenge maisha baby. Achana na hao wanaokupiga viwili mimi unanijua nimeshindwa kabisa nakupiga vitatu.
 

Attachments

  • 1425138967151.jpg
    17.2 KB · Views: 236

Tumesikia mmepata bwana mjeshi Botswana, hongereni. Bao 5 zinawakumbusha nini?
 
Inasemekana simba imemchezesha ibrahim hajib kimakosa kwamba ana kadi 5 za njano......sitanii

Nimeiona taarifa hii katika blog ya Salehe Jembe, endapo ni ya kweli, viongozi wa Simba watakuwa kwenye wakati mgumu endapo timu itapokonywa pointi 3, kupoteza magoli 5 na kufungwa magoli 2.

Nashauri TFF wapotezee tu hata kama Ajibu alikuwa na kadi 3 za njano.

CC. Jamal Malinzi: Kindly condone the same.
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaaa
 

Mkuu umenena, Simba sio mbovu ni migogoro tu ya ndani inasumbua. Hali kama hii ingeipata yanga ingekuwa imeshashuka daraja lakini kwa Simba imehimili sasa miaka 3.
Simba ikiamua kuacha migogoro hakuna timu itakatiza mbele yake yanga inajua hilo ndiyo waulize wanapofungwa 3,2 bila Simba huwa inaingia uwanjani ikiwa imefungwa nje ya uwanja, vijiweni na media lakini sio dimbani.
 
Vipi matokeo kwa viwanaja vingine leo hii VPL?
 
Masuke tunawasubiria kwa hamu, nyie tulieni Ngassa amerudia enzi zake na Tambwe lazima awafunge.
Hapo bado wakina Msuva na Sherman mtakaa tu.

Maneno tumeyazoea, hata Okwi na Kaseja walipotua jangwani mlisema hivyohivyo na bado mkapokea kipigo cha 3.
 
Last edited by a moderator:
Kwa Anaye jua kituo cha radio kitakachorusha matangazo ya moja kwa moja mechi ya Azam na El merrekh..?
 

Kama ni kweli sheria na kanuni zichukue mkondo wake.
 
Masuke tunawasubiria kwa hamu, nyie tulieni Ngassa amerudia enzi zake na Tambwe lazima awafunge.
Hapo bado wakina Msuva na Sherman mtakaa tu.

Kula Yanga kulala Simba, kijana wetu anawabeba sana, lazima ndoto zake zitatimia tu siku moja! Kaeni chonjo!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…