Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tujifunze kitu kwa hiiPyee pyeee pyeee....acheni kuja na matokeo uwanjani nyamafu..
Ngada hizi mbaya sanaTarehe 7 wananchi tuna jambo letu tutapiga pale pale kwenye mshono
Huo utanzania one mlimpa nyie. Wenye akili timamu walimjua mapema sana kuwa hakuna kipa pale bali ni pazia tuManula hafai kuwa Tanzania one au kipa number one simba ,hata mechi ya mtibwa tulifungwa hivi hivi ,Manula ni shati na useless
aliyempa ni makocha siyo sisiHuo utanzania one mlimpa nyie. Wenye akili timamu walimjua mapema sana kuwa hakuna kipa pale bali ni pazia tu
MaKocha gani?aliyempa ni makocha siyo sisi
wa taifa starsMaKocha gani?
Sasa taifa stars kuna makocha au makapi ya ukocha? ndo mana wanamg'ang'ania uyo andunje wenu manulawa taifa stars
Mmetafunwamatokeo yapoje hadi sasa?
Wewe unaumwa ApedomiaHuo ndio ushahidi wa unyani wako, uneducated person na mbwa wa kubwekabweka
Huyu huyu mnaemlaumu kaokoa michomo mingi ya nafasi za wazi lakini hamsifiagi. Kama leo kafanya sevu moja matata kabisa ambayo ingepelekea goli kuwa mbili mtungi. Hakosa kipa asiyefungwa duniani. Kila kipa ana mapungufu ya namna yake.Manula hafai kuwa Tanzania one au kipa number one simba ,hata mechi ya mtibwa tulifungwa hivi hivi ,Manula ni shati na useless
magoli ambayo huwa anafungwa ni ya kizembe utadhani kahongwa na kampuni za kubet ,lakini hiyo michomo aliyofanya unaona hapa kafanya kazi ,ila haya magoli ya kizembe si bure kuna kitu anakijuaHuyu huyu mnaemlaumu kaokoa michomo mingi ya nafasi za wazi lakini hamsifiagi. Kama leo kafanya sevu moja matata kabisa ambayo ingepelekea goli kuwa mbili mtungi. Hakosa kipa asiyefungwa duniani. Kila kipa ana mapungufu ya namna yake.
Yeye ni binadamu hivyo hawezi kukamilika kwa kila kipengele. Ukiangalia huo uzembe ambao ni makosa ya Mara kwa mara yanayozungumziwa ni kufanya timing ya mpira vibaya (kutoka). Haya yanaongozwa na hesabu zake za akili yake kichwani. Tukija katika namba, idadi ya michomo ya wazi aliyofanikiwa kuibeba Simba kupata matokeo ni kubwa kuliko idadi ya makosa yake binafsi aliyoyafanya na kuigharimu timu.magoli ambayo huwa anafungwa ni ya kizembe utadhani kahongwa na kampuni za kubet ,lakini hiyo michomo aliyofanya unaona hapa kafanya kazi ,ila haya magoli ya kizembe si bure kuna kitu anakijua