VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

Manula hafai kuwa Tanzania one au kipa number one simba ,hata mechi ya mtibwa tulifungwa hivi hivi ,Manula ni shati na useless
 
Manula hafai kuwa Tanzania one au kipa number one simba ,hata mechi ya mtibwa tulifungwa hivi hivi ,Manula ni shati na useless
Huyu huyu mnaemlaumu kaokoa michomo mingi ya nafasi za wazi lakini hamsifiagi. Kama leo kafanya sevu moja matata kabisa ambayo ingepelekea goli kuwa mbili mtungi. Hakosa kipa asiyefungwa duniani. Kila kipa ana mapungufu ya namna yake.
 
magoli ambayo huwa anafungwa ni ya kizembe utadhani kahongwa na kampuni za kubet ,lakini hiyo michomo aliyofanya unaona hapa kafanya kazi ,ila haya magoli ya kizembe si bure kuna kitu anakijua
 
Asalaleee.....Vyura mmeitana huku...mmejazana....! yaani nyuzi hizi siku za karibuni vyura huwa wanazikimbia na kudai wanatumia uzi wao Yanga Afrika kwa woga na kutojiamini. Sasa muwe mnaanzisha nyuzi na nyie ili kilinge kinoge.....mnavyokimbia sio poa,sie ni watani tu.
 
magoli ambayo huwa anafungwa ni ya kizembe utadhani kahongwa na kampuni za kubet ,lakini hiyo michomo aliyofanya unaona hapa kafanya kazi ,ila haya magoli ya kizembe si bure kuna kitu anakijua
Yeye ni binadamu hivyo hawezi kukamilika kwa kila kipengele. Ukiangalia huo uzembe ambao ni makosa ya Mara kwa mara yanayozungumziwa ni kufanya timing ya mpira vibaya (kutoka). Haya yanaongozwa na hesabu zake za akili yake kichwani. Tukija katika namba, idadi ya michomo ya wazi aliyofanikiwa kuibeba Simba kupata matokeo ni kubwa kuliko idadi ya makosa yake binafsi aliyoyafanya na kuigharimu timu.
Hakuna kipa mzuri duniani ambaye hana mapungufu ya kibinadamu, makipa wote wanafungwa hata awe bora kiasi gani.
 
Tanzania one ni mmoja tu kwa sasa ni AISHI MANURA....! Saves za hatari amafanya nyingi kuliko hilo goli moja....! Ndo mana makocha wengi wamekuwa na trust naye....!
 
Back
Top Bottom