Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kweli simba wameanza ligi kama ulivyosema yahoo.
SIMBA 4 0 MGAMBO JKT
Huyu Okwi huyu... ndo maana Yanga wanamchukia sana. Okwi mmoja ni sawa na washambuliaji 3 wa Yanga. the man anacheza kwa kujituma sana yaan ni kama one army man.
Ingekuwa kweli hayo basi Mikia ingeongoza ligi.
hii ni sawa na kununu mtumbwi ili hali mto unaelekea kukauka!
Kaka yangu Ta Muganyizi kumbe na wewe GAMBA?
Nina wasiwasi na upeo wako
Wafungaji simba ni nani na nani?
Hata mim ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri sasa huyo okwi kaisaidiaje simba ili ishiriki michuano ya caf mwakan
Wafungaji simba ni nani na nani?
sibonike hilo ukiwauliza akina Manji wanalijua wewe tu ndo unakataa hujui namna gan mpaka sasa manji anateseka sana kwa suala la okwi kurudi siba na halaf kuja kuwagonga bao moja lenye kutia uchungu sana pamoja na ulinzi mkubwa aliokuwa amewekewa. simba ni team nzuri tatizo ni siasa ndizo zinazoiangusha kwa sasa ni kama wanaamua leo washinde kesho wafungwe. ila kama wakiwekana sawa Yanga mtapata wakati mgumu sana ile enzi ya kupigwa tano ndo itarud ila kwa sasa yanga mnafurah coz mnafungwa moja 2,3 na sometime mnatoa draw.
Leo tupo vizuri