VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

Nina wasiwasi na upeo wako

Okwi ni sawa na mastraika watatu wa Yanga? Give me a break. Okwi ni mchezaji mzuri but not to that extent. Huo ndio upeo wangu na darasa langu la ngumbaru!
 
Sijui kama mikia wamenunua mechi ya leo. Maana wengine wote hununua lakini wao ndio wanashinda kihalali.
Next game nu kichapo tu kwenye Homa yao ya Vipindi.
 
Tumeua 4 bila tayari , yebo acheni kelele ligi bado mbichi
 
Wenzako Mkuu wako wapi, au wamejikatika tamaa? Yuko wapi Katavi, Masuke, Ngarna, sembo, grafani11 na wengine wachache.

Unataja watu ambao wakija hata ukiulizwa swali la kwani Mkoa wa Katavi hauna JF haukawii kushtaki kwa Invisible. Tunawafahamu nyie kwa kupaniki kufunga mkifungwa nyie kupanick nje nje.
Jiulize kwanini siwatag wewe na mwenzako mmoja?
 
Last edited by a moderator:
uzuri wa Simba hatununui mechi kaam Yanga. Yanga Manji anatumia pesa nying sana kuisababishai yanga ishinde ikiwa ni pamoja na kununu mechi but kama pesa hizo angeziweka kwenye kuiendeleza yanga ingekuwa mbali sana. but utaona hana nia hiyo zaidi ya kuwa please wana yanga ili kujijenga kisiasa. yanga wananunua sana mechi na hata kupanga wachezaji gan washinde katika mechi husika
 
Unataja watu ambao wakija hata ukiulizwa swali la kwani Mkoa wa Katavi hauna JF haukawii kushtaki kwa Invisible. Tunawafahamu nyie kwa kupaniki kufunga mkifungwa nyie kupanick nje nje.
Jiulize kwanini siwatag wewe na mwenzako mmoja?

Mkuu usijali, mavi ya kale hayanuki. Hata mimi niliingia katika mtego wa shetani wa kukuchukia wewe kwa lugha zako za kiasherati. Mimi nilishakusamehe toka zamani sana, nasikitika kuona wewe bado una kinyongo na mimi. Mpira ni mpira tu mkuu, usitufanye tukagombana na huku hatujuani hata kwa sura, ni hasara kubwa sana kwetu endapo tutakubali ujinga wa kugombana hapa jukwaani.

Hebu fikiria siku moja tukikutana nami nikajitambulisha kwako kuwa mimi ndiye Makoye Matale na wewe ukajitambulisha kuwa ndiwe grafani11, endapo tutakuwa na ugomvi hapa jukwaani hali itakuwaje? Lakini kama hatuna ugomvi, hali itakuwaje pia?
 
Last edited by a moderator:
Kwa namna ile waliyokuwa wanacheza mgambo jkt leo nikajua mikia wanaweza kuvunja record bora ya timu ya wananchi ya kumpiga coast goli 8-0, kumbe mikia wakacheza kiboga boga tu!
 
Kwa namna ile waliyokuwa wanacheza mgambo jkt leo nikajua mikia wanaweza kuvunja record bora ya timu ya wananchi ya kumpiga coast goli 8-0, kumbe mikia wakacheza kiboga boga tu!

mkuu Pole Pole wasikusikie maana wanahasira haoooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…