Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wasiwasi na upeo wako
Hata mim ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri sasa huyo okwi kaisaidiaje simba ili ishiriki michuano ya caf mwakan
Huyo jamaa uwezo wa kufikiri umefikia mwisho
Tumeua 4 bila tayari , yebo acheni kelele ligi bado mbichi
Tatizo mpira umeanza kufatilia mwaka 2013
Sijui kwanini Kipa wa mgambo ni mfupi
Okwi kapiga matatu, hilo moja sijui kapiga nani
Unataja watu ambao wakija hata ukiulizwa swali la kwani Mkoa wa Katavi hauna JF haukawii kushtaki kwa Invisible. Tunawafahamu nyie kwa kupaniki kufunga mkifungwa nyie kupanick nje nje.
Jiulize kwanini siwatag wewe na mwenzako mmoja?
Mkuu tatizo lako unabishana na wahuni wa mitaani, mwisho utakuja kubishana na wehu.
Mkuu tatizo lako unabishana na wahuni wa mitaani, mwisho utakuja kubishana na wehu.
Kwa namna ile waliyokuwa wanacheza mgambo jkt leo nikajua mikia wanaweza kuvunja record bora ya timu ya wananchi ya kumpiga coast goli 8-0, kumbe mikia wakacheza kiboga boga tu!