Super Okwi = Msuva+Tambwe+Ngassa+Niyonzima
super okwi wa mabonanza na mechi Za mchangani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super Okwi = Msuva+Tambwe+Ngassa+Niyonzima
Kudadeki,simba wameanza ligi sasa
Mnyama leo Kama Bayern!
Tatizo hata tukishinda mechi zote tunafikisha points 47 wakati yebo tayari wana points 49 apa ni kumuombea azam njaa yapo bado ni ndoto kushika nafasi ya 2
Duh !, hongereni mikia fc
super okwi wa mabonanza na mechi Za mchangani
Kudadeki,simba wameanza ligi sasa
Mkuu Makoye Matale rekodi inaonyesha kuwa simba haijawahi kufunga mbeya city sasa wewe unapataje huo ujasiri.
Yanga bwana, wamejazana humu wakijua tunafungwa!
Hatuna kesi na Simba tena, tuna pointi 49, Simba pointi 35 hivyo hata tukipoteza mechi zote Simba hawezi kuwa bingwa. Sisi tupo hapa jukwaani kama wapenda soka na wala hatuhitaji kuwaombea mabaya tena maana tulipoomba yakawapata mabaya kweli kweli hadi tunasikitika kuwa hatukuomba mabaya yawapate kwa kiwango hiki.