Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Half time azam 1-0 ndanda.
Steve Yanga, a crying Yanga fan alihamia timu gani vile?Simba.com hutakiwi kujiuliza swali kama hilo.
Uhame yanga uhamie azam!!!?
Wafanyavyo hivo ni watu wa simba.
Mkuu huzuni zinazidiana, kuna huzuni zingine ni fake na zingine ni genuine. Huzuni yenu ya jpili ya tarehe nane huwezi kuilinganisha na huzuni ya wanasimba ya jana.Ushabiki wa soka ni homa ya kupanda na kushuka. Masuke na wenzake walikuwa wenye furaha Jumamosi zote mbili zilizopita, nasi tukapata furaha jana huku wale wa upande mwingine wakipandwa na hasira na kujiuliza kwa nini Yanga wapate ushindi kama ule.
Leo sisi na wao bila shaka tuko Ndanda FC ambapo hadi HT hali si shwari kwa upande wetu na wao pia.
Enyi Ndanda FC msituvurugie furaha yetu, angalau sawazisheni basi mioyo yetu utulie.
Achana nae yule poyoyo mwenye njaa, kwanza zilimjaa yule kichwani!!!
Steve Yanga, a crying Yanga fan alihamia timu gani vile?