VPL updates, leo tar. 16.03.2015: Azam vs Ndanda

VPL updates, leo tar. 16.03.2015: Azam vs Ndanda

Hapa inabidi Azam mkikutana nao mtoe draw halafu tukikutana nao sisi inabidi tuwafunge ili msimamo ulete heshima kidogo.

Poa tu, Simba mtakuwa mmejihakikishia nafasi ya 2 mnayoitamani sana.

Ubingwa wa Yanga ameushikilia Simba na Yanga ameshikilia nafasi ya pili ya Simba.

Hakuna shaka mwaka huu hamtawaachia Azam kama mwaka jana.
 
Kweli mkuu mi jana nilichukia sana eti mmeshinda goli tano, hata bia sikunywa nililala tu nyumbani kwa hasira.

Usiongee habari za bia kwa huyu msabato Makoye Matale.

Azamfc oyeeee! Poleni mikia na yeboyebo.
 
Poa tu, Simba mtakuwa mmejihakikishia nafasi ya 2 mnayoitamani sana.

Ubingwa wa Yanga ameushikilia Simba na Yanga ameshikilia nafasi ya pili ya Simba.

Hakuna shaka mwaka huu hamtawaachia Azam kama mwaka jana.

mkuu makoye kwanza simba huwa anamwachia azam nafasi au uwezo wao unaishiaga pale?msimu huu watajitahid watashika nafas ya tatu.
 
Back
Top Bottom