Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaonyesha wanaweza kukomboa hilo goli na baadaye kuongeza la ushindi?Ndanda si wabaya aisee
Ushabiki wa soka ni homa ya kupanda na kushuka. Masuke na wenzake walikuwa wenye furaha Jumamosi zote mbili zilizopita, nasi tukapata furaha jana huku wale wa upande mwingine wakipandwa na hasira na kujiuliza kwa nini Yanga wapate ushindi kama ule.
Leo sisi na wao bila shaka tuko Ndanda FC ambapo hadi HT hali si shwari kwa upande wetu na wao pia.
Enyi Ndanda FC msituvurugie furaha yetu, angalau sawazisheni basi mioyo yetu utulie.
Aisee umenichekesha sana, inaonekana hao warhodesia uliwaamini sana.Kweli mkuu mi jana nilichukia sana eti mmeshinda goli tano, hata bia sikunywa nililala tu nyumbani kwa hasira.
Tanzania hatuna marefarii mkuu..,
Mkuu huzuni zinazidiana, kuna huzuni zingine ni fake na zingine ni genuine. Huzuni yenu ya jpili ya tarehe nane huwezi kuilinganisha na huzuni ya wanasimba ya jana.
Na leo endapo Azam wakishinda bado huzuni zetu wote wawili haziwezi kuwa sawa na huzuni yenu ya jpili ya tarehe nane. Hata huzuni yenu ya juzi sio sawa na ile ya jpili ya tarehe nane.