Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Wakishinda mechi azam watakuwa na point ngapi?
naona kama ubingwa wanautaka tena hawa watu.
Pointi 33.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishinda mechi azam watakuwa na point ngapi?
naona kama ubingwa wanautaka tena hawa watu.
Dak ya 87, azam 1-0 ndanda.
Pointi 33.
Dak ya 90, azam 1-0 ndanda.
yanga wana point ngapi hadi leo asubuhi
Pointi 31
ila nadhani tuna mchezo mkononi...
Hapa inabidi Azam mkikutana nao mtoe draw halafu tukikutana nao sisi inabidi tuwafunge ili msimamo ulete heshima kidogo.Yes, hadi sasa wamecheza mechi kama ifuatavyo: Azam mechi 17 pointi 33, Yanga mechi 16 pointi 31 na Simba mechi 18 pointi 29.
Kwani mpira umeisha mkuu.
Naona toka Azam wamfukuze yule kocha wao kutoka Ivory coast wamekuwa na trend ya Ushindi japokuwa ni ushindi mwembamba sana.