VPL updates, leo tar. 16.03.2015: Azam vs Ndanda

Da ndanda kulikoni tena jamani mbona mnaniangusha.
 
Agreey Morris analimwa kadi ya njano dak ya 41.
 
Dak ya 45, azam 1-0 ndanda.
 
45+2 Azam 1-0 ndanda.
 
Half time azam 1-0 ndanda.
 
Hivi hawa watu walikuwa timu gani kabla?
Simba.com hutakiwi kujiuliza swali kama hilo.
Uhame yanga uhamie azam!!!?
Wafanyavyo hivo ni watu wa simba.
 
Half time azam 1-0 ndanda.

Ushabiki wa soka ni homa ya kupanda na kushuka. Masuke na wenzake walikuwa wenye furaha Jumamosi zote mbili zilizopita, nasi tukapata furaha jana huku wale wa upande mwingine wakipandwa na hasira na kujiuliza kwa nini Yanga wapate ushindi kama ule.

Leo sisi na wao bila shaka tuko Ndanda FC ambapo hadi HT hali si shwari kwa upande wetu na wao pia.

Enyi Ndanda FC msituvurugie furaha yetu, angalau sawazisheni basi mioyo yetu utulie.
 
Last edited by a moderator:
Simba.com hutakiwi kujiuliza swali kama hilo.
Uhame yanga uhamie azam!!!?
Wafanyavyo hivo ni watu wa simba.
Steve Yanga, a crying Yanga fan alihamia timu gani vile?
 
Simba.com hutakiwi kujiuliza swali kama hilo.
Uhame yanga uhamie azam!!!?
Wafanyavyo hivo ni watu wa simba.


Ahsante kwa taarifa mkuu mkolaj ila uko waliko naona kama hawana furaha tofauti na hapo awali.
 
Last edited by a moderator:
Kipindi cha pili kimeanza hapa chamanzi, bado azam 1-0 ndanda.
 
Mkuu huzuni zinazidiana, kuna huzuni zingine ni fake na zingine ni genuine. Huzuni yenu ya jpili ya tarehe nane huwezi kuilinganisha na huzuni ya wanasimba ya jana.

Na leo endapo Azam wakishinda bado huzuni zetu wote wawili haziwezi kuwa sawa na huzuni yenu ya jpili ya tarehe nane. Hata huzuni yenu ya juzi sio sawa na ile ya jpili ya tarehe nane.
 
Last edited by a moderator:
Dak ya 51, azam 1-0 ndanda.
 
Achana nae yule poyoyo mwenye njaa, kwanza zilimjaa yule kichwani!!!

Sasa hao waliotoka Simba una uhakika gani haikuwa njaa? Halafu humu hatutumii majina yetu halisi ukute mmojawapo ndo Steve.
 
Refarii anawanyima penat hawa vijana wa ndanda, marefarii wa tz ni majanga.
 
Dak ya 56, azam 1-0 azam
 
Azam- Frank Domayo 0ut, Bocco In

Ndanda- Ibrahim mwaipopo 0ut, Idd Kulachi In.
 
Dak ya 61, azam 1-0 ndanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…