VPL updates, leo tar. 16.03.2015: Azam vs Ndanda

Dak ya 65, azam 1-0 ndanda.
 
Dak ya 70, azam 1-0 ndanda.
 
Naomba sababu ya kunyimwa ile penalt ndanda
 

Kweli mkuu mi jana nilichukia sana eti mmeshinda goli tano, hata bia sikunywa nililala tu nyumbani kwa hasira.
 
Gidion Benson In
Nassoro Kapama 0ut
 
Kweli mkuu mi jana nilichukia sana eti mmeshinda goli tano, hata bia sikunywa nililala tu nyumbani kwa hasira.
Aisee umenichekesha sana, inaonekana hao warhodesia uliwaamini sana.
 
Njano kwa pascal wawa dak ya 78.
 
Sekeseke kwa goli la azam, dua za kutosha kwa wanamtwara wote, wanasimba na wanayanga wote.
 

Tena kigoli kimoja cha Okwi kilichotupiwa wavuni nje ya 18 kinauma sana. Siku ile sikuangalia mechi nilikuwa safarini.

Juzi niliona Okwi akitupia bao la mbali kwa Mtibwa, tena dakika za majeruhi, iliniuma sana hadi nilitoa machozi kama ya mbogo bila kutarajia.

Nakubali Mkuu, maumivu yanatofautiana.
 
Dak ya 82, azam 1-0 ndanda.
 
Kipre tchetche 0ut
Amri kiemba In
 
Wakishinda mechi azam watakuwa na point ngapi?
naona kama ubingwa wanautaka tena hawa watu.
 
Kigi makasi anaingia kwa upande wa ndanda.
dak ya 85.
 
Wakishinda mechi azam watakuwa na point ngapi?
naona kama ubingwa wanautaka tena hawa watu.
Watafikisha point 33, point 2 mbele ya yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…