Ndoto za Alinacha, Simba akipata nafasi ya pili nitaomba mods wanipe ban ya mwez 1.........
Hii sasa sifa! Thread inaanzishwa saa 36 kabla ya mechi?
Kwan kuna ubaya gani watu kuanza kusherehekea ubingwa mapema!!Hii sasa sifa! Thread inaanzishwa saa 36 kabla ya mechi?
Nafasi ya pili yetu
...nhamala ule na makoye sana...!!
Nataman "SAID BANUZI" aoneshe uwezo wake hapo kesho! kwa ushindi mnono na magoli ya mapema! pamoja na EDWARD CHRISTOPHER
Ndoto za Alinacha, Simba akipata nafasi ya pili nitaomba mods wanipe ban ya mwez 1.........
Ha ha ha haaah.........mkuu Makoye Matale hata kujipa matumaini ni vizuri lolote katika soka linatokea.Mko nyuma ya Azam takriban pointi 7, mmejipanga vipi kuhakikisha kuwa ninyi mnashinda michezo yote na Azam anafungwa michezo 2 na kutoa sare mchezo 1? Kimahesabu ya kawaida, Simba hana chake hapo. Jichimbieni kwenye nafasi yenu ya 3!