Proton VPNVpn gani nzuri ni install wiki ijayo nitakua TZ nisikose kuwa jukwaani
Nchi ya Bulgaria Ina mambo sn🤣Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu
sawaProton VPN
Hii pia lzm ulipie?Proton VPN
Tutembeleane bana, nami niko UK hapaFrom United kingdom!
Pamoja Sana mkuuToka ile siku waifungie nilikaa kwa shida aisee.... Leo nimewasha VPN ili niingie X kuona Martin Maranja Masese anasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lisu, nikasema ngoja nijaribu JF, aisee sijaamini!
Nilidhani haifunguki hata kwa VPN.
Ni Free ila inalimit matumizi ya GB 1 kwa mwezi..Hii pia lzm ulipie?