Tumia TOR naona iko poa Sana but siyo VPN ni browserVpn gani nzuri ni install wiki ijayo nitakua TZ nisikose kuwa jukwaani
Tor yenyewe huwa ina act as an intermediate VPN between server na client, hii ndo tunaingiliaga Dark Web huko..Tumia TOR naona iko poa Sana but siyo VPN ni browser
Ulivoingia huko Dark web ulikuta niniTor yenyewe huwa ina act as an intermediate VPN between server na client, hii ndo tunaingiliaga Dark Web huko..
NAKAZIA..Wameshindwa kuifungia kwenye kiswaswadu wala huitaji vpn
Kumbe tupo wengi aisee niliishi Kwa shida sana siku mbili Hizi nikapata wazo la vpn kujaribu tu imoToka ile siku waifungie nilikaa kwa shida aisee.... Leo nimewasha VPN ili niingie X kuona Martin Maranja Masese anasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lisu, nikasema ngoja nijaribu JF, aisee sijaamini!
Nilidhani haifunguki hata kwa VPN.
- Swadakta, Mini Uswazini kwa Mswati.Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
Watu wenye uhakika na chakula huwa wanawaza maendeleo kuliko hawa maprofessor wa JalalanKwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
Kuna Option mbili ya kulipia na free..Okay
Nimepakua ila inaonyesha kulipia
Lipia tu, tumsapoti developer. Za bure mashaka mengi.Hii pia lzm ulipie?
Nipo Germany now naperuzi tu JF kama kawaKwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
OkKuna Option mbili ya kulipia na free..