VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

Nipo hapa London 😂😂😂

Hata Mimi Ile message ya hatutopatikana Tanzania ndo ikanipa akili ya VPN
Sasa kilichobaki ni ku spreed news jukwaa lichangamke
 
Nami mtu mmoja alinisanua huko Twitter kwenye post yake moja, wenzetu walikuwa mbele ya wakati.
 
Mwaka wa tano nipo na Sungura wangu huyu. Ni swala la kumwambia tu nataka kwenda UK au US au Toronto hahahahaha.
 
K
Toka ile siku waifungie nilikaa kwa shida aisee.... Leo nimewasha VPN ili niingie X kuona Martin Maranja Masese anasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lisu, nikasema ngoja nijaribu JF, aisee sijaamini!
Nilidhani haifunguki hata kwa VPN.
Kumbe tupo wengi aisee niliishi Kwa shida sana siku mbili Hizi nikapata wazo la vpn kujaribu tu imo
 
mimi siku hizi VPN ndio imekuwa maisha yangu, nikiamka tu asubuhi naiwasha, siizimi mpaka usiku mda wa kulala ninapozima simu(huwa nina kawaida ya kuzima simu usiku nipandapo kitandani kulala).
 
Watu wenye uhakika na chakula huwa wanawaza maendeleo kuliko hawa maprofessor wa Jalalan
 
Nipo Germany now naperuzi tu JF kama kawa
 
Wanawafundisha watu ujanja tu. Sasa hivi karibu kila mtu Tanzania atajua kutumia VPN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…