Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

Tafsiri yake ninini hapa? Wananchi wamechoka na uoga hatimaye umewatoka! Hawaogopi tena! Ni ngumu kutabiri kituo kifuatacho kitakuwa wapi.. Kama kikiwa kanda ya ziwa hiyo ni habari ya kutisha sana...
Kuna kiongozi alisema upinzani wa dhati utatoka ndani ya chama chetu nadhani aliona mbali na anastahili kuitwa nabii
 
Thread 'Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi' Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi
 
Aahaaaa,kweli watu wamechoka
 
Hadi wewe unasema hivi!?
Aahaaaa
 
Za Chini chini hata Yule Alie sema atatumbuliwa mpaka leo yuko madarakani na sababu kuu ni kijana wa Yusuph wa Tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…