MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mbadala ni wale waliomuzia chama lowasa 2015 kama ndo hao basi wewe ndo kipofu na huna mawazo huruWewe ndiye kipofu wa kisiasa usiyeona chama mbadala, wenye mawazo huru tunakiona
Wewe lumumba wahedi ebu kaa pembeni wanaume tuna mengi ya kuzungumzaMbadala ni wale waliomuzia chama lowasa 2015 kama ndo hao basi wewe ndo kipofu na huna mawazo huru
Bora umesema hiliCCM imechokwa tatizo hakuna chama mbadala
Chama kiko hai na imara nchi nzimaamekiri kuwa akiambiwa kuchagua CCM na andazi yeye atachagua Andazi [emoji1787][emoji1787] CCM tunaenda kubaya Sana..[emoji23]
KATIBA Ndio Muongozo Hata ww unaweza kuwa MbadalaCCM imechokwa tatizo hakuna chama mbadala
Unasema?samia watu hawakutaki.Achia kiti urudi Paje ukalee wajukuu.
Ila we jamaa ni mnafiki SanaNi kweli bila Ubabe CCM haiendi popote, imeshapitwa na wakati Ndio sababu Walimsukumizia Shujaa Magufuli Magogoni [emoji23][emoji23]
Kwani Siasa ni Uganga wa kienyeji?Ila we jamaa ni mnafiki Sana
Hata JPM JK mlisema hivi hivi watu hawakutaksamia watu hawakutaki.Achia kiti urudi Paje ukalee wajukuu.
Kwa hiyo mkuu unaamin andaz linaweza kuongoza nchi?Siwezi kukushangaa kwani hapo ndiyo mwisho wako wa kufikiri.