Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Tofaut ake nn
Zina tofauti kubwa saana tu..japo kwa mwonekano wa nje sio saana.

Hiyo p8 lite inauwezo mdogo ukilinganisha na p8 kubwa..
P8 lite ram 3G/ P8 ram 3GB
Storage 16GB/ 16GB au 64GB
Display 720. /1080
Main body Plastic / main body Metal
Camera 13MP kwa 5MP/ 16MP kwa 8MP
...etc
 
Mkuu nitakuja hapo Aggrey kukuona. Hivi ni pale mtaa wa Max Mbwana kama ulivyojulikana zamani?
Vunja bei ya sikukuu kwa hiyo p8 lite haishuki offer ya X Mas angalua 350k?
Hah hah 380k
 
Kodi nimlipe nani wakati napitisha njia za panya!!na hakuna anaenisaidia...wala aliyenipa mtaji!!!
Kwa nini unakwepa kodi huoni kwamba unaangamiza uchumi wa nchi yako jitahidi kuwa uzalendo

Kwa maandishi hayo ngoja niwashitue Tra waanze kukufuatilia maana umeweka na namba zako za simu.

Ili ulazimishwe kulipa kodi,
Kama hutaki kulipa kwa hiari.
 
Kwa nini unakwepa kodi huoni kwamba unaangamiza uchumi wa nchi yako jitahidi kuwa uzalendo

Kwa maandishi hayo ngoja niwashitue Tra waanze kukufuatilia maana umeweka na namba zako za simu.

Ili ulazimishwe kulipa kodi,
Kama hutaki kulipa kwa hiari.
Nani kasema nakwepa kulipa kod mkuu??...babu yangu mzaa babu alilipa kodi, kafa kabwela, babu nae akalipa kodi, kafa kabwela! babu mzaa baba akalipa kodi, kafa hohe hahe! baba nae kalipa kodi kafa maskini tu, ...hao vigogo hawalipi kodi..wametoboa mpka koo zao zinaishi km peponi????????.......
Me nalipa Kodi tu.....nione kwangu napo itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…