luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
unge rekodi hata video basi ili tujue kma ni kweli au photoshop tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa dar wameshiba zao mihogo, wakaamua kuzichapaVurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda wenye magari hayo na kuanzisha mstari mwingine baada ya basi walilokuwa wakilikimbilia kujaa. Hali hiyo ilisababisha mvutano kati ya abiria na maafisa wa usafiri wa mabasi hayo, huku baadhi ya abiria wakidai kuwa hawawezi kupangiwa namna ya kupanda kwenye basi.
Katika purukushani hizo, abiria mmoja alijeruhiwa baada ya kupigwa na maafisa wa Mwendokasi wakishirikiana na dereva wa basi hilo liifika atika kito hicho lenye namba za usajili T 544 DWR.
Mwandishi wa Nipashe Digital, alikuwa mmoja wa abiria katika kituo hicho na kushuhudia tukio hilo. Mmoja wa abiria alijaribu kutuliza hali kwa kuwaomba maafisa hao pamoja na dereva wampeleke abiria huyo waliokuwa wakimshamulia kituo cha polisi badala ya kumpiga. Dereva wa basi hilo alishuka kwenye gari na kumkaba abiria uyo aliyetoa shauri, jambo lililozua taharuki zaidi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu changamoto za huduma ya Mwendokasi, ambapo abiria wengi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa magari na msongamano mkubwa wa abiria hasa wakati wa asubuhi.
Aidha, kumekuwa na malalamiko kuhusu tabia ya baadhi ya maafisa wa taasisi za umma kujichukulia sheria mkononi na kutumia nguvu kupita kiasi, jambo ambalo linakinzana na misingi ya utoaji wa huduma kwa wananchi.View attachment 3249007View attachment 3249008View attachment 3249009
Tukiwaambia serikali yote ihamie Dodoma mna kazi ya kukebehe maamuzi ya niwe!Je ingebaki Dar kungekuwaje Dar msongamano?!!Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda wenye magari hayo na kuanzisha mstari mwingine baada ya basi walilokuwa wakilikimbilia kujaa. Hali hiyo ilisababisha mvutano kati ya abiria na maafisa wa usafiri wa mabasi hayo, huku baadhi ya abiria wakidai kuwa hawawezi kupangiwa namna ya kupanda kwenye basi.
Katika purukushani hizo, abiria mmoja alijeruhiwa baada ya kupigwa na maafisa wa Mwendokasi wakishirikiana na dereva wa basi hilo liifika atika kito hicho lenye namba za usajili T 544 DWR.
Mwandishi wa Nipashe Digital, alikuwa mmoja wa abiria katika kituo hicho na kushuhudia tukio hilo. Mmoja wa abiria alijaribu kutuliza hali kwa kuwaomba maafisa hao pamoja na dereva wampeleke abiria huyo waliokuwa wakimshamulia kituo cha polisi badala ya kumpiga. Dereva wa basi hilo alishuka kwenye gari na kumkaba abiria uyo aliyetoa shauri, jambo lililozua taharuki zaidi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu changamoto za huduma ya Mwendokasi, ambapo abiria wengi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa magari na msongamano mkubwa wa abiria hasa wakati wa asubuhi.
Aidha, kumekuwa na malalamiko kuhusu tabia ya baadhi ya maafisa wa taasisi za umma kujichukulia sheria mkononi na kutumia nguvu kupita kiasi, jambo ambalo linakinzana na misingi ya utoaji wa huduma kwa wananchi.View attachment 3249007View attachment 3249008View attachment 3249009
TIi sheria bila shuruti. Kupanga mstari ni ustaarabu.
Oops
Nchi Hii Hivi Mwendokasi Kuupanda Mpaka Ujifue Gym
Kwani watu wakiongezeka vivunjwe na kujengwa vingine?Halafu wako bize wanajenga mfupa mwingine njia ya bagamoyo.
Hivi kwa nini wasingejenga njia sita au nane kabisa mpaka pale bunju.
Mtu kutoka bunju kuja mwenge unatumia dk 8 tu.
Nje ya mada:
Hivi mainjinia wa mwendokasi, kuna ulazima upi wa kujenga vituo vireeefu maeneo ambayo hayana historia ya kuwa na abiria wengi?
Mfano hivyo mnavyojenga lugalo.
Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
View attachment 3249022
Naomba Tafsiri ya maneno yaliyo mgongo mwa huyu aliyevaa tsheti nyekundu!
🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣🤣😂😂🤣😂🤣😂😂😂View attachment 3249022
Naomba Tafsiri ya maneno yaliyo mgongo mwa huyu aliyevaa tsheti nyekundu!
Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda wenye magari hayo na kuanzisha mstari mwingine baada ya basi walilokuwa wakilikimbilia kujaa. Hali hiyo ilisababisha mvutano kati ya abiria na maafisa wa usafiri wa mabasi hayo, huku baadhi ya abiria wakidai kuwa hawawezi kupangiwa namna ya kupanda kwenye basi.
Katika purukushani hizo, abiria mmoja alijeruhiwa baada ya kupigwa na maafisa wa Mwendokasi wakishirikiana na dereva wa basi hilo liifika atika kito hicho lenye namba za usajili T 544 DWR.
Mwandishi wa Nipashe Digital, alikuwa mmoja wa abiria katika kituo hicho na kushuhudia tukio hilo. Mmoja wa abiria alijaribu kutuliza hali kwa kuwaomba maafisa hao pamoja na dereva wampeleke abiria huyo waliokuwa wakimshamulia kituo cha polisi badala ya kumpiga. Dereva wa basi hilo alishuka kwenye gari na kumkaba abiria uyo aliyetoa shauri, jambo lililozua taharuki zaidi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu changamoto za huduma ya Mwendokasi, ambapo abiria wengi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa magari na msongamano mkubwa wa abiria hasa wakati wa asubuhi.
Aidha, kumekuwa na malalamiko kuhusu tabia ya baadhi ya maafisa wa taasisi za umma kujichukulia sheria mkononi na kutumia nguvu kupita kiasi, jambo ambalo linakinzana na misingi ya utoaji wa huduma kwa wananchi.View attachment 3249007View attachment 3249008View attachment 3249009
RVurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda wenye magari hayo na kuanzisha mstari mwingine baada ya basi walilokuwa wakilikimbilia kujaa. Hali hiyo ilisababisha mvutano kati ya abiria na maafisa wa usafiri wa mabasi hayo, huku baadhi ya abiria wakidai kuwa hawawezi kupangiwa namna ya kupanda kwenye basi.
Katika purukushani hizo, abiria mmoja alijeruhiwa baada ya kupigwa na maafisa wa Mwendokasi wakishirikiana na dereva wa basi hilo liifika atika kito hicho lenye namba za usajili T 544 DWR.
Mwandishi wa Nipashe Digital, alikuwa mmoja wa abiria katika kituo hicho na kushuhudia tukio hilo. Mmoja wa abiria alijaribu kutuliza hali kwa kuwaomba maafisa hao pamoja na dereva wampeleke abiria huyo waliokuwa wakimshamulia kituo cha polisi badala ya kumpiga. Dereva wa basi hilo alishuka kwenye gari na kumkaba abiria uyo aliyetoa shauri, jambo lililozua taharuki zaidi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu changamoto za huduma ya Mwendokasi, ambapo abiria wengi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa magari na msongamano mkubwa wa abiria hasa wakati wa asubuhi.
Aidha, kumekuwa na malalamiko kuhusu tabia ya baadhi ya maafisa wa taasisi za umma kujichukulia sheria mkononi na kutumia nguvu kupita kiasi, jambo ambalo linakinzana na misingi ya utoaji wa huduma kwa wananchi.View attachment 3249007View attachment 3249008View attachment 3249009
Kwani zile R4 za bibi wananchi wamezishit? Au zilikua kamba tu??Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.
Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda wenye magari hayo na kuanzisha mstari mwingine baada ya basi walilokuwa wakilikimbilia kujaa. Hali hiyo ilisababisha mvutano kati ya abiria na maafisa wa usafiri wa mabasi hayo, huku baadhi ya abiria wakidai kuwa hawawezi kupangiwa namna ya kupanda kwenye basi.
Katika purukushani hizo, abiria mmoja alijeruhiwa baada ya kupigwa na maafisa wa Mwendokasi wakishirikiana na dereva wa basi hilo liifika atika kito hicho lenye namba za usajili T 544 DWR.
Mwandishi wa Nipashe Digital, alikuwa mmoja wa abiria katika kituo hicho na kushuhudia tukio hilo. Mmoja wa abiria alijaribu kutuliza hali kwa kuwaomba maafisa hao pamoja na dereva wampeleke abiria huyo waliokuwa wakimshamulia kituo cha polisi badala ya kumpiga. Dereva wa basi hilo alishuka kwenye gari na kumkaba abiria uyo aliyetoa shauri, jambo lililozua taharuki zaidi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu changamoto za huduma ya Mwendokasi, ambapo abiria wengi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa magari na msongamano mkubwa wa abiria hasa wakati wa asubuhi.
Aidha, kumekuwa na malalamiko kuhusu tabia ya baadhi ya maafisa wa taasisi za umma kujichukulia sheria mkononi na kutumia nguvu kupita kiasi, jambo ambalo linakinzana na misingi ya utoaji wa huduma kwa wananchi.View attachment 3249007View attachment 3249008View attachment 3249009
Kero kubwa ni kutoleta magari kwa wakati vituoni, mtu anasimama dk 40 na gari ikija ishajaza kupita kiasi.Kuna abiria wengine inabidi wapigwe tu hakuna namna. Wanajikuta wajanja au wababe kumbe wanaharibu taratibu.
Serikali ishughulikie kero za UDART-BRT watu watauwana siku moja.