Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

unge rekodi hata video basi ili tujue kma ni kweli au photoshop tu
 
Wanaume wa dar wameshiba zao mihogo, wakaamua kuzichapa
 
Tukiwaambia serikali yote ihamie Dodoma mna kazi ya kukebehe maamuzi ya niwe!Je ingebaki Dar kungekuwaje Dar msongamano?!!
 
Kwani watu wakiongezeka vivunjwe na kujengwa vingine?
 
Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria.

Siku hizi hiyo barabara ya Kimara - Mbezi Mwisho wameweka vituo vya mwendokasi?

Mara ya mwisho kupita huko BRT buses zilikuwa zinatumia vituo vilevile sawa na daladala za kawaida...
 

"Wherever you see Black people you see problems, being Black itself alone is the problem."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
R
Kwani zile R4 za bibi wananchi wamezishit? Au zilikua kamba tu??
 
Kuna abiria wengine inabidi wapigwe tu hakuna namna. Wanajikuta wajanja au wababe kumbe wanaharibu taratibu.

Serikali ishughulikie kero za UDART-BRT watu watauwana siku moja.
 
Kuna abiria wengine inabidi wapigwe tu hakuna namna. Wanajikuta wajanja au wababe kumbe wanaharibu taratibu.

Serikali ishughulikie kero za UDART-BRT watu watauwana siku moja.
Kero kubwa ni kutoleta magari kwa wakati vituoni, mtu anasimama dk 40 na gari ikija ishajaza kupita kiasi.

Wanatakiwa basi zingine zianzie katikati ya vituo kupunguza abiria sio kila basi linaanzia mwanzo.
 
Tukiagiza magari mtumba ili tujikomboe, TRA wanatupiga kodi zaidi ya pesa tuliyonunulia hiyo mikangafu.
 
mamiradi ya hovyo wasimamizi wa hovyo , mimi sijui hapo bongo tunaweza nini, yaani kila kitu vululu vululu wee fikiria mradi unakufa kwa kuzidiwa na wateja badala ya mradi kufa kwa kutokuwa na wateja, kuna mambo yanaudhi sana vitu vya msingi kabisa wanawapa watu wasiokuwa na uwezo kusimamia aaaghhhhhhh UJINGA kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…