Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

Wanafundishwa tangu school bus za kindergarten ndo maana, sasa huku kwetu aloo
 
Usafiri wa umma Tanzania ni laana na umasikini, basi tu hatuna pesa za kununua vitz na passo. Halafu anakuja mtu anasema vitz na Passo sio gari..
 
Wakuu lile teke picha namba mbili mmelizingatia lakini jamaa kagusa mpaka kongosho pale
 
Hizi Mwendokasi safari zake hazikupangwa kutokana na mahitaji. Wamenakili vituo vya daladala na wao wakapita humohumo. Ingekuwa suluhisho kama wangenakili vituo vya kuanzia au kuishia au kugeuzia vilivyotumika kabla daladala hazijapakwa mikanda ya njia.
Mfano huku kwetu Dar Barabara ya Nyerere, kuna daladala zilikuwa zinaanzia/zinaishia/zinageukia Vingunguti, Uwanja wa Ndege, Banana, Mombasa na Gongo la Mboto. Hizi terminal za kuanzia/kuishia/kugeukia ndizo zilipaswa kutambulishwa kwenye Mwendokasi. Nina maana Mwendokasi zilipaswa kuanzia/kuishia/kugeukia vituo hivyo nilivyotaja. Kusingekuwa na vurugu vituoni
 
Hii ntaiweka kwenye cover la movie yangu
 

Attachments

  • Screenshot_20250225-171136_1.jpg
    285.9 KB · Views: 1
Mwendokasi ni usafiri wa kimaskini mno bora waurudishe daladala route zote watu wajichagulie
 
Kuna picha moja njemba karusha mteke wa kwenye bandama afu jamaa kaupokea kama boya hahah burudani sana
 
Muuza huduma anampigq mteja wake!
 
Ni kichapo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…