Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

Yaani mambo mengine ya ajabu kabisa, yaani kupanda mwendokasi tu mpaka ngumi zipigwe.
 
Abiria walikuwa wapi kumsaidia mwenzao?
Wangetembeza kichapo ili hao jamaa wa mwendokasi na walinzi wa China washike adabu
 
Vituo vinawekwa karibu karibu sana hadi kero, wangeviweka mbali mbali ili wananchi wafanye mazoezi
 
Sana Yaani Pesa Yako Inakutesa, Unatoka Home Safi Unakwenda Kuununua Ugomvi
Halafu Dar Yote Mwendokasi
 
abiria wengine wa bishi sana kipigo ndio kinawafaa, watu munapanga folen yeye anajingiza tu popote bila kujali aliowakuta

Hujawahi kupanda mwendokasi wewe. Utaratibu wao ni mbovu sana. Unaweza kupanga foleni na ukavumilia hata lisaa lizima kwa sababu tu hutaki kusimama. Lakini wakati umefika mbele kabisa unashngaa gari inafika na dereva amafungua milango yote ili mvunjane miguu na wakati alitaliwa kufungua mlango mmoja tu watu waingie kwa foleni.
Kuna siku moja niko pale Mbezi nimepanga foleni vizuri. Gari imekuja dereva akasema haendi. Hazijapita hata dakika 2.kasogeza gari mbele kafungua milango yote. Matokeo yake tuliokuwa kwenye foleni tukabaki na wenye mbio ndio wakapanda
 
Si jambo sahihi kwa mtoa huduma kufanya alichofanya, huwez pgan na mteja wako , hao wanapasw kuw fired kbsa especial derevaa aliingilia majukumu ya mlinz
Upumbavu huo unaukuta kwenye miradi ya serikali tu na ndio maana inazalisha hasara tu kwa sababu vibarua wanapata mishahara hata kama mradi utasimama kwa mwezi mzima. Ingekuwa ni kampuni binafsi wote waliopigana na abiria wangekuwa wameshachukuliwa hatua na pengine kusimamishwa kazi.
 
Mwanaume unavaa asubuhi suruali na shati fresh kumbe unaenda kubinuliwa sarakasi na wahuni. Kiranga komooo
 
Iliwahi nikuta hii kadhia, nliboreka ile siku, sitamani kabisa Mwendokasi. Lol
 
Naungana na maafisa wa mwendokasi. Ikiwezekana wadeploy mgambo vituoni asubuhi na jioni hadi pale abiria watakapokuwa wastaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…