Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 611
- 567
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWENYEWE YUKO ULAYA ANAKUNYWA BIA NYIE MNANYUKANA HAMNA KAZI ZA KUFANYA KWANI?Vurugu kubwa ndani ya chama zimetokea Ikungi, baadhi ya Watu wanataja jina la Tundu Lissu
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama.
Chanzo cha Habari: habarimpyatv