Vurugu kubwa ndani ya chama zimetokea Ikungi, baadhi ya Watu wanataja jina la Tundu Lissu
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama.
Chanzo cha Habari: habarimpyatv