Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886
Toka mkurugenzi wa Dart alipoteuliwa
niliamini hakuna reform yoyote inaweza kufanyika kwa kuwa si kuona kama ni reformist.Dart imekosa mbinu,imekosa maono,imekosa weledi na imekosawazalendo.Hakuna proper maintainance.Sekta binafsi ipewe na kuwa na quality service clauses
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886

"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886

Tanzania ni kipi mnachokiweza? labda wizi na ufisadi wa pesa za umma. na wizi wa kura!
 
Gentleman,
yaani unateseka pekeyako kwa uvivu wako unasungizia wasiohusika?,

are you surely okay mentally?🐒
Kwenye hiyo video nipo mimi hapo, pumbavu unajifanya Huna macho unavisoda usoni. Mkiwa huko ccm mnafudishwa utaahira.
Kundi kubwa la wananchi wananyanyasika kwa kodi zao na hii haijaanza leo, lakini mpaka sasa hakuna solution yoyote.
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886
Hii ni dalili kabisa kuwa nchi imemshinda
 
Kwenye hiyo video nipo mimi hapo, pumbavu unajifanya Huna macho unavisoda usoni. Mkiwa huko ccm mnafudishwa utaahira.
Kundi kubwa la wananchi wananyanyasika kwa kodi zao na hii haijaanza leo, lakini mpaka sasa hakuna solution yoyote.
relax and calm down gentleman,

wewe mwenyewe ukivuruga utaratibu uliopo, unataka nani ateseke na kupata tabu kama sio wewe mwenyewe?

that's nonsense 🐒
 
Huo mji japo nimekulia ila siupendi kbs!Mchana joto Kali mixer ma inzi usiku ni ma mbu kwenda mbele halafu unakuta mtu eti anaviimbaaa na kaa dar!!!Hao madem wa kimara wamekomaa wanaweza kukutoa jino.Mkoani Raha sana Kwa kweli
 
Watu wako kama mangombe
Huu mradi ushajifiaaa...
Hivi hao wanaongoza wanaweza
Nini hasa
Ona wapiga kura wako kama mangombe wanavyogombania mabasi
Hivi waziri anaehusika yupo

Ova
Mradi haujafa na hauwezi kufa bali utakua bora zaid na wakuaminika zaidi katika muda usio kua mrefu hapo mbeleni,

ni muhimu sana wanainchi kua wastaarabu na kufuata utaratibu ulioko katika kutumia huduma hiyo ili hatimae wanainchi wote wafurahie huduma yenyewe 🐒
 
Back
Top Bottom