magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
Kuna vituo njiani huwa vina nyomi la watu ndio wanakowahi. Wanajaribu kubalance ila ndio hivyo.Mabus ni machache ila madereva nao wanazingua wanaacha abiria stand wanatoa magari matupu sijui wanakimbilia wapi....