Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Muda muafaka sasa umefika wajitafakari na kuanza kurudi vijijini kwao
Huku mjini tumetosha....
 
Usafiri wa kipumbavu sana huo, mtu anayeutumia kila siku lazima apate uchizi
 
Hata Treni ya SGR muda si mrefu itakuwa hoi.
HAKUNA TUNACHO WEZA ZAIDI YA NYIMBO ZA KUSIFU NA KUABUDU.
 
MiCCM hakuna mradi wanaoweza endesha ukaleta tija, HAkUNA
Kuanzia Mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar, SUKITA , TAZARA hadi ATCL..UFISADI tu
 
Back
Top Bottom