Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Majizi ya CCM ndio yamewafikisha hapo.

Nchi zilizostaarabika usafiri wa umma ni usafiri wenye hadhi ya juu na wa haraka , kwa waliosafiri sana watakubaliana na mimi.

Hapo kwa hali hiyo mgeni anaona wazi nchi ilivyo na viongozi hopeless, sababu ingekuwa huko kwingine kesho waziri na wasaidizi wake lazima wawe hawana kazi.

Watu wanachukulia poa ila katika hali hiyo kuna kitu kinaitwa stampede ambayo huleta maafa ndani ya muda mfupi tu.
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886
Minota nate
 
Bajaj ni usafiri mbovu na wenye hatari nyingi sana, maafisa usafirishaji wa bajaj walikuwa bodaboda, hawana weledi wa kutoa huduma na wanaangamiza sana maisha ya watu.

Sishauri mtu kutumia usafiri wa bajaj.
Yaniii ila mm huwa napenda hizo naona atleast kidogoo kama una haraka kuliko boda bdoa...
 
Nimejiuliza hivi hata JPM hili fupa lilimshindaje na utemi wake wote ule??😂
Fupa lilimshinda au alikufa kabla ys wakati. Angekuwepo mpaka leo hio huduma ingekuwa imenyooka by 90% angekuwa amesha phase out wapumbavu wote wanaokwamisha zoezi.
 
Binafsi bajaj hapana, tena nikisikia hata madogo wameenda sehemu na bajaj nachanganyikiwa kabisa. Heri nikasubiri daladala kuliko.
Hahahaha bajaji ni mbadala wa Tax kwangu mimi. Kitu ambacho sipendi mtoto apande ni pikipiki. Hio hapana kubwa!

Yani nitavumilia apande kwa safari ambayo hatutafika kwenye highway road yeyote. Tena hapo nakuwa nimempakata yani sio apande mwenyewe.
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886
Halafu kuna mtu haoni uhusiano kati ya hii adha na chama tawala!
 
Mnazubaishwa kwa mambo kama haya, mara usafiri, mara maji, mara taka, mara umeme

Mwaka unaisha unakuja mwingine na hali ni hii hii
Hata aje nani hali itakuwa hivi hivi
Ni kwa sababu ya ulaji
 
Kwa hio wewe unaamini kwamba watu wote ni sawa na vipato vinalingana kwa hela gani watu wanazolipwa na mfumuko wa bei ya vitu nani ataweza ku afford bajaji na pikipiki na bolt toka mbezi kwenda kariakoo kivukoni au muhimbili kwenda na kurudi huyo mtu anaingiza sh ngapi hizi gari zinawabeba sana waajiriwa watumishi. Wa umma na binafsi make vipato viko chini wamefeli usafiri turudishiwe daladala
Hivi huyo shoga bado una guts za kubishana nae. Yeye yuko upande wa Opressors wala sio mtu hata wa kupoteza muda kumjibu sababu anaongea utumbo pro max!
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886
Leo asubuhi usafiri ulisumbua sana hakika. Mimi ni mkazi wa maeneo hayo ila huwa nilishaachana na daladala na mwendokasi. Mimi ni pikipiki na bajaji tu.
 
Back
Top Bottom