mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Tunachoweza ni kukata mauno tuSerikali imeshindwa kuendesha mradi wa daladala
Na makalio
Ova
Tunachoweza ni kukata mauno tuSerikali imeshindwa kuendesha mradi wa daladala
Bajaj ni usafiri mbovu na wenye hatari nyingi sana, maafisa usafirishaji wa bajaj walikuwa bodaboda, hawana weledi wa kutoa huduma na wanaangamiza sana maisha ya watu.Mungu aisimamie tuu SGR iendelee vzr hivihivi maana inaturahisishia mno mambo yetu ya DOM to DAR...isije ikawa kama hizo mwendokasi...
Kwanza sinaga mzuka nazo bora nijipandie bajaji
Basi hilo ni kosa kubwa katika kutoa huduma kwa UMMA inabidi kila mwenye uwezo aweze kufanya..., UMMA na Binafsi kila mtu kwa wakati wake (Huku UMMA ukihakikisha affordability) na binafsi vyovyote wanavyotaka ili kurudisha investment zaoPitisha basi ukalipe million ya faini
Hapo kwa nauli ya buku 2 tu waingize zile special hire level seat full ac uone kama kuna mtu atapanda basi mbovu za blue zile.Basi hilo ni kosa kubwa katika kutoa huduma kwa UMMA inabidi kila mwenye uwezo aweze kufanya UMMA na Binafsi kila mtu kwa wakati wake (Huku UMMA ukihakikisha affordability) na binafsi vyovyote wanavyotaka ili kurudisha investment zao
ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra wakati miundombinu inakamilika na wabia wanakubaliana namna ya kuendesha mradi huo kwa ufanisi zaidi kwa maslahi mapana ya taifaKwa ss wengine tuliyokuwa mbele ya muda tunasema huo usafiri ni sawa na kusema unawabeba mangombeee.....
Unless labda viongozi nao waanze kuutumia
Huo ni usafiri wa kishenzi,wakimateso tuuu
Nashangaa mpaka sahv waziri anayehusika na sekta hiyooo yuko kimya
Ova
,Hizo nyingine ni bei gani ? Na wanakataza wengine kupita kwa excuse gani ? Kwamba ni njia zao (fast lane) au kwanini ?Hapo kwa nauli ya buku 2 tu waingize zile special hire level seat full ac uone kama kuna mtu atapanda basi mbovu za blue zile.
Very trueMadereva wa hayo mabasi kwa kiasi kikubwa wanachangia kuufanya huo mradu ni wa kipumbavu
Hiki ndicho kila siku huwa nakisema humu ndani, huwezi kujenga barabara kwa mabilioni ya fedha za umma halafu barabara hizo zinakuwa underutilized. Yaani badala ya kuweka utaratibu ili watu binafsi waingize mabasi yao makubwa yenye vigezo vya kubeba abiria mjini unaacha watu wanateseka daily. Hizo barabara ilitakiwa kuwe na Buses zaidi ya 500 zina fanya kazi masaa 24 kubeba watu. Sasa kuna faida gani watu wakiwa wanateseka kwa kung'ang'ania hizo mwendo kazi ambazo zimeshafeli?Daa. Nimesikitika sana. Kwanini wasiruhusu mabasi ya watu binafsi yaendelee kutoa huduma sambamba na UDART?
Huwajui CCM wewe, wanaweza fanya lolote la ajabu ilimradi wapate maslahi yao tu.Hizo nyingine ni bei gani ? Na wanakataza wengine kupita kwa excuse gani ? Kwamba ni njia zao (fast lane) au kwanini ?
Sababu if that is the case (wameshindwa kutoa huduma) hili jambo ni rahisi watu kukaa mezani na kushikinikiza wanaokula Kodi zetu waache upuuzi
Kuna mambo ni magumu kuyafanya ila mambo yanayogusa mwananchi moja kwa moja ni rahisi kufanya lobbyingHuwajui CCM wewe, wanaweza fanya lolote la ajabu ilimradi wapate maslahi yao tu.
Mbaya zaidi ukiingiza gari yako private wanakukamata unapigwa fine ya kukomolewa hata kama njia za kawaida zimejaa malori kwa foleni. Mule zinapita gari za jeshi na viongozi wa serikalini tu pamoja na Ambulance na Fire.Hiki ndicho kila siku huwa nakisema humu ndani, huwezi kujenga barabara kwa mabilioni ya fedha za umma halafu barabara hizo zinakuwa underutilized. Yaani badala ya kuweka utaratibu ili watu binafsi waingize mabasi yao makubwa yenye vigezo vya kubeba abiria mjini unaacha watu wanateseka daily. Hizo barabara ilitakiwa kuwe na Buses zaidi ya 500 zina fanya kazi masaa 24 kubeba watu. Sasa kuna faida gani watu wakiwa wanateseka kwa kung'ang'ania hizo mwendo kazi ambazo zimeshafeli?
Sio kwa CCM mzee. Kuna kesi ya haraka haraka ya uchochezi 😂😂 utatwishwa hio ili uhangaike nayo wakati wao wanaendeleza shughuli zao za kila siku.Kuna mambo ni magumu kuyafanya ila mambo yanayogusa mwananchi moja kwa moja ni rahisi kufanya lobbying
Daladala za kawaida nauli ni 500-1000 kwa ruti za mjini by 80%. Kero ni foleni ambazo hazikwepeki kirahisi na kusimama.Hizo nyingine ni bei gani ? Na wanakataza wengine kupita kwa excuse gani ? Kwamba ni njia zao (fast lane) au kwanini ?
Sababu if that is the case (wameshindwa kutoa huduma) hili jambo ni rahisi watu kukaa mezani na kushikinikiza wanaokula Kodi zetu waache upuuzi
Kwa hio wewe unaamini kwamba watu wote ni sawa na vipato vinalingana kwa hela gani watu wanazolipwa na mfumuko wa bei ya vitu nani ataweza ku afford bajaji na pikipiki na bolt toka mbezi kwenda kariakoo kivukoni au muhimbili kwenda na kurudi huyo mtu anaingiza sh ngapi hizi gari zinawabeba sana waajiriwa watumishi. Wa umma na binafsi make vipato viko chini wamefeli usafiri turudishiwe daladalagentleman,
pamoja na kwamba kuna usafiri wa mwendo kasi,
bado upo usafiri wa daladala, bajaji, bodaboda, bolt n.k
kulikoni watu walete fujo kama siao mazoea ya vibaka na matapeli wa kisiasa wenye tabia ya kuanzisha fujo kwa makusudi kupora na kuibia watu pesa na mali zao?![]()
Nipe mfano wa shirika lingine la umma la usafiri ambalo limeweza ku perform mkuu. Hili suala liachiwe tuu private sekta, wapewe vigezo,aina ya mabus nk... serikali ipate tuu kodi yake. Si unaona usafiri wa mabasi ya mikoani nowadays? Serikali imejenga barabara private sekta wameboresha usafiri kila kona. Last month nilikuwa naenda Mpanda, Katavi, nimepanda HAPPY NATION BUS, luxury mpaka Wifi ndani, choo ndani, na huduma zingine kama maji,juice, biskuti, matunda etc...mabasi yapo muda wote, asubuhi,mchana na usiku, yaani ni wewe tuu. Hivyo huo usafiri wa mwendo kasi uwe privatized watu waingize mabasi yao,tena ya kila aina (ya kusimama kila kituo, express kwa wenye haraka kufika mjini,VIP kwa wasiotaka purukushani ni)Toka mkurugenzi wa Dart alipoteuliwa
niliamini hakuna reform yoyote inaweza kufanyika kwa kuwa si kuona kama ni reformist.Dart imekosa mbinu,imekosa maono,imekosa weledi na imekosawazalendo.Hakuna proper maintainable.Sekta binafsi ipewe na kuwa na quality service clauses
Safi sana. Mtanzania usipompa kashkash kama hizi anajiona kama siyo binadamu. Tungekuwa hatutaki haya tungeshaungana na kuvurumisha CCM na Samia kutoka Ikulu.Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.
View attachment 3311886
Sasa kero za bajaji utafananisha na mwendokasi mzee?! Mimi safari zangu za week nzima 60% natumia bajaji. Haijawahi kuwa na keroBajaj ni usafiri mbovu na wenye hatari nyingi sana, maafisa usafirishaji wa bajaj walikuwa bodaboda, hawana weledi wa kutoa huduma na wanaangamiza sana maisha ya watu.
Sishauri mtu kutumia usafiri wa bajaj.
Kumqlamamaaqoni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra wakati miundombinu inakamilika na wabia wanakubaliana namna ya kuendesha mradi huo kwa ufanisi zaidi kwa maslahi mapana ya taifa,