mzee hakuna gari ya kike watu ni njaa tu zinawasumbuaMtu ambaye hayo ndiyo maisha yake ya kila siku hata awe domozege ni ngumu kuwa single.
Oooh IST ni gari za kike, haya za kiume hizo hapo sasa!
Mimi nilijua yamekatazwa ndio maana hao abiria wanajazana kituoni. Kama hayajakatazwa kwanini waendelee kujazana kusubiria usafiri usio na uhakika? Kwanini hawatumii usafiri mbadala kama upo?Yamekatazwa ?
Sahihi.Sawa basi, Lissu anajisumbua tuu. Watanzania hatujaamua.
Shida ni kwamba miundombinu na public transport sio nzuri; nchi lazima itoe huduma ya usafiri ambao ni affordable na wa uhakika; huwezi kutegemea mtu binafsi kufanya routes ambazo ataona kwake hazina faida au kumpangia bei za kuunga unga..., suala la usafiri Dar ni shida; na sio hilo tu la watu kusubiri kwa muda bali wengine kutumia robo tatu ya siku yao wakiwa barabarani kwenye traffic...Mimi nilijua yamekatazwa ndio maana hao abiria wanajazana kituoni. Kama hayajakatazwa kwanini waendelee kujazana kusubiria usafiri usio na uhakika? Kwanini hawatumii usafiri mbadala kama upo?
Tulikua na Magufuli ila watu hawakumuona.Tumlete Traore aboreshe miundombinu
Hp ni Tanzania? Kwanza kwanini walikuwa hawataki kuwapakia? Ila Dsm ina raia wengi. Serikali ijayo ijenge kwa makusudi miundo mbinu ya kisasa hasa barabarani nzuri mikoani na wilayani. Vijana wetu wanakimbilia sehemu moja tu ya nchi kwanini? Vyakula vyote vinatoka mikoani. Watu wamebaki mikoani na wilayani mzunguko wa hela ni uwepo wa watu. Hela iko kwa watu si kwingineko na wanachofuata vijana Dsm ni watu, watu ndio soko, ndiyo hela.Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.
View attachment 3311886
Nyie mazombie hamna akili hiyoChadema wangekuwa na uthubutu huu, nchi ingesonga mbele. NR NE ingetekelezeka . Siyo kufanya uchawa tuu.
Erythrocyte unaona chadema wanachotakiwa kufanya?
Harakati za lisu zimeanzaHali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.
View attachment 3311886
Umqskini mbaya sanaHali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.
View attachment 3311886
Mama mama mama....Nini sasa tunaweza.
HahahaMradi haujafa na hauwezi kufa bali utakua bora zaid na wakuaminika zaidi katika muda usio kua mrefu hapo mbeleni,
ni muhimu sana wanainchi kua wastaarabu na kufuata utaratibu ulioko katika kutumia huduma hiyo ili hatimae wanainchi wote wafurahie huduma yenyewe 🐒
Ndugu yangu Msechu,Msajili wa Hazina,sijui anajisikiajeHali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.
View attachment 3311886
Yaani soko lipo lkn biashara inashindwa kufanyika. InashangazaKwani hayo mabasi yana shida gani hayataki kupandisha abiria? Serikali iko wapi kutatua hii kero? Kama wameshindwa kazi, wawaachie wanaoweza.
Kweli mtu analipa nauli yake, atumie nguvu kusimamisha basi, vurugu kuingia. Bado mvua, muda, kusimama. Si sawa hawa ndiyo walipa kodi, wanaofaidi maisha wako kwenye viyoyozi na ma V8. MAISHA NI KUCHAGUA...
Relax gentleman that's the truth 🐒Hahaha