Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Toka mkurugenzi wa Dart alipoteuliwa
niliamini hakuna reform yoyote inaweza kufanyika kwa kuwa si kuona kama ni reformist.Dart imekosa mbinu,imekosa maono,imekosa weledi na imekosawazalendo.Hakuna proper maintainable.Sekta binafsi ipewe na kuwa na quality service clauses
Kuna vitu vingine hata apewe malaika hawezi.
 
wanapangiwa kila kitu nasikia hawajiamulii tu,
Awapangiwi hao na awafuatiliwi,ulaya brt inakua mpaka na inspector,dereva hajui kwanza inspector atamkuta kituo gani,then muda,ukifika kituo unajua kabisa saa 7:00 bus la kivukoni litakua wapi,hao awapangiwi na maboss zao hawajahi kutumia public transport ni mwendo wa v8 so hawajui chochote na hawataki kujua on ground raia wanateseka vp
 

Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.
Aisee.... This is only in Tz
 
Awapangiwi hao na awafuatilii,ulaya brt inakua mpaka na inspector,dereva hajui kwanza inspector atamkuta kituo gani,then muda,ukifika kituo unajua kabisa saa 7:00 bus la kivukoni litakua wapi,hao awapangiwi na maboss zao hawajahi kutumia public transport ni mwendo wa v8 so hawajui chochote na hawataki kujua on ground raia wanateseka vp
majamaa wanapangiwa mkuu kwamba akifika kimara kwa mfano ageuke muda gan au akaanzie kuchukua abiria wapi unless uo ujinga wawe wameacha kuna dereva tulishawah kum tight ndo akatusanua kwamba wao ni kama maroboti tu wanapangiwa muda wa kutoka muda wa kufika na kugeuza anaweza akaja kituoni kuna nyomi ila akakapak anasubiri komand
 
HII NDO ILE MAAAFA YA KWAMBA ONLY SHORTLISTED WILL BE CONTACTED........AFUUU PER CE KUBWA YA SHORTLISTED NI VIMEMO KUJUANA ,,,,,,,BABA YANGU KATIBU......................................................HUKU WANAOSTAHIKI KISA HAWANA REFEREE MZURI NDOO TUKO NAO HUKU WANA KOMALIA KUENDESHA BAJAJI.........ANATOKA KARIOKOO HADI MBEZI KWA BABAJI WALIO LIPA 2000 EACH
 
Huu mradi umeshakuwa wa kiwendawazimu.Ni Bora hizi barabara tuzitumie watu wote tu maana zimejengwa Kwa Kodi yangu mfukoni mwangu.Madhumuni ya huu mradi yalishashindwa na badala yake imegeuka kuwa kero.Mimi binafsi nikiwa na usafiri binafsi Huwa napita barabara za mwendokasi ili kufidia Kodi zangu walizozichukua kimabavu
 
Safi sana ndio Dawa yenu!! Fisiem ni fisiem TU wenzenu wanawaza uchaguzi.izo sio shida zao.
KAZI ni kipimo cha utu
 
M

Mwamba #Tlaatlaa katia mguu sema nini huu mradi watu wanateseka sana zaidi ya sana ni machungu full wizi hamna usafiri tunatumia tu ila basi bora warudishe daladala watu wamechoka sana inavyoonekana hata kuleta mabasi yenyewe imekaa kisiasa mbona mbagala huu mwaka wa 3 toka barabara imeisha hamna gari wameshindwa kimara na mbezi watakuweza mbagala je mradi kutoka kibaha wamefeli na abiria ni wengi zaidi ya sana nashangaa sana kuona biashara inayokufa kisa wateja wengi ovyo sana
gentleman,
pamoja na kwamba kuna usafiri wa mwendo kasi,
bado upo usafiri wa daladala, bajaji, bodaboda, bolt n.k

kulikoni watu walete fujo kama siao mazoea ya vibaka na matapeli wa kisiasa wenye tabia ya kuanzisha fujo kwa makusudi kupora na kuibia watu pesa na mali zao? :NoGodNo:
 
Kwani hayo mabasi yana shida gani hayataki kupandisha abiria? Serikali iko wapi kutatua hii kero? Kama wameshindwa kazi, wawaachie wanaoweza.

Kweli mtu analipa nauli yake, atumie nguvu kusimamisha basi, vurugu kuingia. Bado mvua, muda, kusimama. Si sawa hawa ndiyo walipa kodi, wanaofaidi maisha wako kwenye viyoyozi na ma V8. MAISHA NI KUCHAGUA...
Tunakutegemea dada yetu
 
Mradi haujafa na hauwezi kufa bali utakua bora zaid na wakuaminika zaidi katika muda usio kua mrefu hapo mbeleni,

ni muhimu sana wanainchi kua wastaarabu na kufuata utaratibu ulioko katika kutumia huduma hiyo ili hatimae wanainchi wote wafurahie huduma yenyewe 🐒
Kwa ss wengine tuliyokuwa mbele ya muda tunasema huo usafiri ni sawa na kusema unawabeba mangombeee.....
Unless labda viongozi nao waanze kuutumia
Huo ni usafiri wa kishenzi,wakimateso tuuu
Nashangaa mpaka sahv waziri anayehusika na sekta hiyooo yuko kimya

Ova
 
Back
Top Bottom