Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Botha alisema maneno haya wapi, lini na source yako ni wapi?
 
Ndugu yangu Msechu,Msajili wa Hazina,sijui anajisikiaje
Hajisikii chochote maana salary si inasoma kila mwezi jombaa??🤣 Na bahati mbaya yeye hatumii huo usafiri,ana shangingi lake. Ingekuwa kuna kasheria kwamba kila mwezi kiongozi huyo atumie usafiri wa umma walau mara 3 basi pengine wangeelewa vilio vya wananchi.
 
Sio kwa CCM mzee. Kuna kesi ya haraka haraka ya uchochezi 😂😂 utatwishwa hio ili uhangaike nayo wakati wao wanaendeleza shughuli zao za kila siku.
Tatizo tunakwenda mmoja mmoja na ni rahisi kwa status quo kuwamaliza ukiwa mmoja mmoja (nguvu ya wanyonge ni umoja wao)

Watu kama hawa inabidi waendelee kufanya hivi kuwashinikiza wabunge wao na kuitisha mikutano ya watoa huduma na Serikali na kuonyesha kero na kinachoendelea (they have the numbers na wanachoongelea kina mashiko); ila kabla ya kufika hata huko inabidi watwambie kwanini mabasi hayatoshelezi wakati Kodi zetu wanachukua ?!!!!

Sababu kwa kusema kauchia hizi barabara za mwendokasi hata baiskeli na bajaji pia zipite huenda tatizo la traffic congestion likawa halijatatuliwa....
 
Nipe mfano wa shirika lingine la umma la usafiri ambalo limeweza ku perform mkuu. Hili suala liachiwe tuu private sekta, wapewe vigezo,aina ya mabus nk... serikali ipate tuu kodi yake. Si unaona usafiri wa mabasi ya mikoani nowadays? Serikali imejenga barabara private sekta wameboresha usafiri kila kona. Last month nilikuwa naenda Mpanda, Katavi, nimepanda HAPPY NATION BUS, luxury mpaka Wifi ndani, choo ndani, na huduma zingine kama maji,juice, biskuti, matunda etc...mabasi yapo muda wote, asubuhi,mchana na usiku, yaani ni wewe tuu. Hivyo huo usafiri wa mwendo kasi uwe privatized watu waingize mabasi yao,tena ya kila aina (ya kusimama kila kituo, express kwa wenye haraka kufika mjini,VIP kwa wasiotaka purukushani ni)
Katika vitu ambavyo mimi sielewi kabisa ni operation ya huu mradi. Ni ujinga mtupu. Hapa walitakiwa watowe specifications za mabasi yanayoweza ku-operate kwenye huo mradi, waachie watu binafsi waweke mabasi yao ili mradi wafuate ratiba na sheria. Kesho utasikia wamempa mwarabu au mwana CCM ambaye atafanya kama atakavyo.
 
Tatizo tunakwenda mmoja mmoja na ni rahisi kwa status quo kuwamaliza ukiwa mmoja mmoja (nguvu ya wanyonge ni umoja wao)

Watu kama hawa inabidi waendelee kufanya hivi kuwashinikiza wabunge wao na kuitisha mikutano ya watoa huduma na Serikali na kuonyesha kero na kinachoendelea (they have the numbers na wanachoongelea kina mashiko); ila kabla ya kufika hata huko inabidi watwambie kwanini mabasi hayatoshelezi wakati Kodi zetu wanachukua ?!!!!

Sababu kwa kusema kauchia hizi barabara za mwendokasi hata baiskeli na bajaji pia zipite huenda tatizo la traffic congestion likawa halijatatuliwa....
Serikali haitaki kusikia chochote ambacho kitaingilia maslahi yao. Ukilielewa hilo wala hutaumiza kichwa.
 
Katika vitu ambavyo mimi sielewi kabisa ni operation ya huu mradi. Ni ujinga mtupu. Hapa walitakiwa watowe specifications za mabasi yanayoweza ku-operate kwenye huo mradi, waachie watu binafsi waweke mabasi yao ili mradi wafuate ratiba na sheria. Kesho utasikia wamempa mwarabu au mwana CCM ambaye atafanya kama atakavyo.
Point ya muhimu hii, Shida serikali nayo inafanya biashara za nyanya
 
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.

Baada ya kusubiri kituoni kwa saa kadhaa, wakaamua kusimamisha basi hili kwa nguvu.

View attachment 3311886
CCM oyeeeee - Mitano tena
 
Sasa kero za bajaji utafananisha na mwendokasi mzee?! Mimi safari zangu za week nzima 60% natumia bajaji. Haijawahi kuwa na kero
Tatizo la bajaji ni usalama. Mimi nikipanda bodaboda au bajaji roho yangu haitulii kabisa. Kna watu wengi nawafahamu wameshafariki kwa ajali za bajaji.
 
Kwa hio wewe unaamini kwamba watu wote ni sawa na vipato vinalingana kwa hela gani watu wanazolipwa na mfumuko wa bei ya vitu nani ataweza ku afford bajaji na pikipiki na bolt toka mbezi kwenda kariakoo kivukoni au muhimbili kwenda na kurudi huyo mtu anaingiza sh ngapi hizi gari zinawabeba sana waajiriwa watumishi. Wa umma na binafsi make vipato viko chini wamefeli usafiri turudishiwe daladala
ikiwa bodaboda na bolt na gharama,

daladala ni nafuu zaidi ya mwendokasi gentleman,
huoni hapo kuna kitu hakiko sawa au kinatafutwa miongoni mwa waleta fujo? :NoGodNo:
 
Katika vitu ambavyo mimi sielewi kabisa ni operation ya huu mradi. Ni ujinga mtupu. Hapa walitakiwa watowe specifications za mabasi yanayoweza ku-operate kwenye huo mradi, waachie watu binafsi waweke mabasi yao ili mradi wafuate ratiba na sheria. Kesho utasikia wamempa mwarabu au mwana CCM ambaye atafanya kama atakavyo.
Atafanya kama atakavyo au watakavyo wao. Hii nchi imejaa urasimu wa kijinga sana. Ni ngumu sana kuendelea toka hapa tulipo bila ya kuwa serious.

Tunatakiwa tukatae kuishi kimazoea ila changamoto ni kuwa mabadiliko hayatakuja in comfort zone. Eneo ambalo kila mtanzania amezoea kuishi na hataki kutoka hapo. Huwa tunataka kila kitu tufanyiwe ila when it comes to life thats next to impossible.
 
Serikali haitaki kusikia chochote ambacho kitaingilia maslahi yao. Ukilielewa hilo wala hutaumiza kichwa.
Na serikali inatambua kabisa kwamba mwananchi ndio mwenye nchi (kama majority wakishinikiza) tena mambo ambayo yana mashiko na yanaonekana Black and White (bila grey areas) hakuna wa kuweza kuwazuia (watajaribu propaganda na kutafuta mchawi) lakini mwisho wa siku wakishinikizwa hawana jinsi...

Always silaha zao imekuwa ni uongo, propaganda, divide and rule na lack of information na ufuatiliaji kwa upande wa mlipa kodi
 
Atafanya kama atakavyo au watakavyo wao. Hii nchi imejaa urasimu wa kijinga sana. Ni ngumu sana kuendelea toka hapa tulipo bila ya kuwa serious.

Tunatakiwa tukatae kuishi kimazoea ila changamoto ni kuwa mabadiliko hayatakuja in comfort zone. Eneo ambalo kila mtanzania amezoea kuishi na hataki kutoka hapo. Huwa tunataka kila kitu tufanyiwe ila when it comes to life thats next to impossible.
Sahihi sana. Watanzania tunaishi kwa shida lakini hatutaki kabisa kupigana na kuondoa kinacholeta shida. Kila mtu anataka mtu mwingine afanye ili afaidi.
 
Sasa kero za bajaji utafananisha na mwendokasi mzee?! Mimi safari zangu za week nzima 60% natumia bajaji. Haijawahi kuwa na kero
Binafsi bajaj hapana, tena nikisikia hata madogo wameenda sehemu na bajaj nachanganyikiwa kabisa. Heri nikasubiri daladala kuliko.
 
Back
Top Bottom