Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Mabus ni machache ila madereva nao wanazingua wanaacha abiria stand wanatoa magari matupu sijui wanakimbilia wapi....Mabus ni machache sana Kuanzia city center mpaka Kimara mwisho na Mbezi mwisho, UDart kama wameshindwa waruhusu gari binafsi ziingie kwenye izo barabara tu