Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kombo ndo ilikua chanzo cha matatizo yote maana umbwe na lyabois walikua wakipigania madem kombo ukiona kaki imepita roho inakusimama unajua dem wako kashahama da sijutii kupita shule hiyo.
 
Enzi hizo wandiba anakuja nilikua form 2 akawaanatupa tips za kufaulu pepa.
Yule mzee alikua anasema baadhi ya masomo ukipata zero sawa tu ila wekeza nguvu zako upige above 30.

2008 tupo F3 wakatutimua and funny enough nikachaguliwa advance pale.
Tatizo wandiba walimtoa Jeshini sijui huko aje atulize vurugu za mtera, matokeo yake akazidi kuongeza vurugu.
 
Wewe unachanganya mafile. Dogo shabani alifariki 2006 na ile vita iliewa jina la stone war 3. Vita iliyowaondoa form 3 na form 4 ilikuwa ni KIMATA-KIMATUKA WAR 1 hi ilikuwa mwezi wa 2 hivi na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati ya viranja na raiya
Alikuwa Golikipa huyu dogo, namkumbuka hadi Leo, alikufa juu ya fomu nje ya ofisi ya waalimu, walikataa kumpa ruhusa. Then wakafoji foji na kusema kafa na malaria.
 
Kuumizana tu matumbo lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 ubongo unasikilizia maumivu ya tumbo, saa ngapi watapata mzuka wa kupigana.

Everyday is Saturday...............................😎
 
[emoji23] [emoji23] ubongo unasikilizia maumivu ya tumbo, saa ngapi watapata mzuka wa kupigana.

Everyday is Saturday...............................😎
Kuna siku waliweka kwenye wali na ndondo, yaan mie sikula kabisaa, maan ile harufu ilizidi, bhana watu walilalamika matumbo na kuharisha kwa sana tyuuh.
 
Hasa hasa kwny kuchagua masterfood ndo hua wanaangalia mwenye manguvu hata kama ni zero brain
 
Roho ya vita na visasi kati ya kibosh, na machame bado iko hai, inahitaji kupumzishwa .Ni haiari ya waahusika to do the needfull
 
NANI ANAKUMBUKA BIFU WAKATI WA MPIRA KATI YA NAMFUA SECONDARY. NA TARAKEA DAY SECONDARY?

MÊmENtO HoMO
 
Roho ya vita na visasi kati ya kibosh, na machame bado iko hai, inahitaji kupumzishwa .Ni haiari ya waahusika to do the needfull
Machame inatenganishwa na mto. Hivo kwa ninavojua mimi lyamungo ipo kibosho machame ni mpaka uvuke mto uliopo chin ya lyamungo kutoka kijiweni so sidhani kama lyamungo ipo machame
 
Nimecheka Sana!!
 
Wapi Tabora boys na Mirambo sitasahau hii najua schoolmate mpo wengi humu mnaweza kutukumbusha
Ni MILAMBO sio Mirambo. TUliwapiga sana Tabora Boys. Kuna siku ilikuwa Jmosi tuliwachapa yaaani tuliwavamia kwao then Jpili tukaenda kusali Joint-Mass, Ilikuwa Mwaka 1999-2000, nilikuwa EGM Form Six
 
Ni MILAMBO sio Mirambo. TUliwapiga sana Tabora Boys. Kuna siku ilikuwa Jmosi tuliwachapa yaaani tuliwavamia kwao then Jpili tukaenda kusali Joint-Mass, Ilikuwa Mwaka 1999-2000, nilikuwa EGM Form Six
Usikute nakufahamu joint mass ilifanyikia wapi Kama una kumbukumbu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…