Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Ni MILAMBO sio Mirambo. TUliwapiga sana Tabora Boys. Kuna siku ilikuwa Jmosi tuliwachapa yaaani tuliwavamia kwao then Jpili tukaenda kusali Joint-Mass, Ilikuwa Mwaka 1999-2000, nilikuwa EGM Form Six
Ila kudadeki mlikuwa wakorofi sana hadi mkachoma maabara
 
Hasa hasa kwny kuchagua masterfood ndo hua wanaangalia mwenye manguvu hata kama ni zero brain
Hahaha tunarudi kwenye midahalo ya co education is better than single sex education. Sitasahau hizi balehe. Tulikaa muda mrefu sana shule. Hiyo wiki tuko mabwenini akicheka huyu anapokea huyu. Yaan hamna sabaabu. Watu mabwenini ni vicheko tu aisee.. nilikua kiongozi wa chakula. Niliona kwa macho yangu mafuta ya taa yakimiminiwa kwenye makande[emoji23][emoji23][emoji706]
Nilichofanya niliagiza kiepe nje ya shule. Watu kula wakalisikia hilo wese. Wacha walalamike. After a week ikaonekana jambo halijaisha ikabidi wadanganye kwamba hakuna chakula shule imeshindwa kulisha wanafunzi hivyo imefungwaaa.... weuweee mabasi kesho yake haya hapaa[emoji23][emoji23] kuna ticha wa kiume akanambia mkakunwe salama mkirudi tusisikie tena vicheko vya hovyo
 
poleni lakini sina hakika kama huu ugomvi wenu ulifikia tulichokuwa tunakifanya MUSOMA TECH
tulikuwa na ugomvi mkubwa na MARA SEC na tumepigana Mara nyingi. kadhalika tulikuwa na ugomvi na SONGE SEC mpk wavulana wakatawanywa mashule mengine ikabakia SONGE GIRLS wake zetu. pia ugomvi na makundi ya vijana wakorofi wa Musoma mfano: JAMAICA MOKERS, MBIO ZA VIJITI, WEST LAWAMA, MDOMO WA FURU N.K
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa kuzuia hizi bangi zisistawi tena ndio maana akina chalamila wakaingilia kati kuchapa watoto stick.

mob ni mbaya sana,kundi la watu ni jeshi linaweza fanya chochote kibaya kabisa.
 
Binafsi nimesoma mlama sec huo mwaka umbwe sec waliogopeka miaka hiyo na nina kumbukumbu mimi huo mwaka 2009 nilikuwa Mlama sec. Pale.
 
Machame inatenganishwa na mto. Hivo kwa ninavojua mimi lyamungo ipo kibosho machame ni mpaka uvuke mto uliopo chin ya lyamungo kutoka kijiweni so sidhani kama lyamungo ipo machame
Kuna vitu viwili unachanganya hapo mkuu. Kumbuka Kibosho ni wilaya ya Moshi vijijini na Machame ni wilaya ya Hai. Sasa Lyamungo iko wilaya ya Hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina,hii makitu imetokea nimeshamaliza hapo mti msafi
 
Memory nzito nzito hizi ila mashamba ya Tacri nimekanyaga sana nikishuka huko narumu kufata pisi
 
Uyo makange siasa yake ndio iliiharibu umbwe muongo sana, stori mia
 
Umesahau ile fujo ya mwaka 2003 mlipokuja mpirani pale Umbwe mzee.?
Hii walitoboa mpira na bisibisi kilichofatia ilikuwa ni kichapo kwa wanafunzo wote wa lyamungo hadi walimu walitoka nduki
 
Kukata mkia maana yake ni kukaribishwa,wanachokifanya ni kuwaogesha wageni wote form five or form one kwenye maji ya mtaro yatokayo mlima Kilimanjaro saa sita kamili usiku,huku wakisindikizwa na kipigo
Nb.hayo maji yana baridi kinoma!
Hii ilikuwepo sana Geita Secondary (Geseco) ile shule ilikuwa zaidi ya kambi ya jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…