Baadhi ya wauaji toka Zanzibar walipokuwa wakitekeleza mauaji dhidi ya Watanganyika walisikika wazi wakisema kuwa mwaka 2000 wazanzibari walikufa, safari hii ni zamu yenu. Wazanzibari walioletwa na Abduli wakitumia silaha alizoziingiza walikuwa wakiua kila mtanganyika anayeonekana bila ya kujali kama ni mtoto, mzee au kijana, hata kama yupo pekee yake. Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Katika utawala huu pesa nyingi za Tanganyika zimeporwa na kupelekwa kuijenga Zanzibar. Wazanzibari wamepora rasilimali nyingi za Tanganyika, kuanzia maelfu ya ekari za ardhi mpaka vitalu vya madini. Ndiyo maana wanasema chini ya utawala huu wameshuhudia maendeleo makubwa Zanzibar kuliko wakati wowote.
Fikiria Serikali ya JMT imechukua mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya kujenga hospitali kubwa Zanzibar yenye kiwango sawa na Muhimbili, kwenye kaeneo ambako ni sawa na wilaya 1 ya Tangayika, na idadi ya watu pungufu kabisa ya waliopo mkoa mmoja wa Tanganyika, wakati Tanganyika, hata kwenye kanda nzima hakuna hospitali kubwa kama ya Muhimbili. Mbaya zaidi deni hilo litalipwa na watanganyika, maana Zanzibar haijawahi kutoa hata shilingi moja kuchangia kulipa mkopo uliochukuliwa na Serikali ya JMT tangu Muungano uasisiwe.
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo. Aibu na huzuni kubwa ni kwa wanajeshi, UVCCM na polisi wa Tanganyika walioshirikiana na Wazanzibari kuwaua watanganyika wenzao.